Jhpiego hivi kazi mnazotangaza huwa mnakuwa na nafasi za kazi kweli au ni kujaza CV tu?

hua wanaita interview bana,,ila kuna rafik angu alienda interview hajawah kuitwa na akiwauliza wale aliokua nao kwenye interview amna ata mmoja ameitwa haha mwez wa 2 unaendea wa3 saiz
 
hua wanaita interview bana,,ila kuna rafik angu alienda interview hajawah kuitwa na akiwauliza wale aliokua nao kwenye interview amna ata mmoja ameitwa haha mwez wa 2 unaendea wa3 saiz
Hawaitagi ..na uyo watakuwa walijichanganya ..nina watu zaidi ya 6 hawajawahi kuitwa na mm wa 7
 
Kuna shirika linajiita jhpiego sijawahi kuona wameita watu kwenye usahili lakini hata siku moja huwezi kosa tangazo lao,jamani kuweni serious.

I hate that thing.
hata mm nimeapply siku nyingi sijawahi sikia wanaita, bt kuna mtu namjua aliajiliwa pale
 
hua wanaita interview bana,,ila kuna rafik angu alienda interview hajawah kuitwa na akiwauliza wale aliokua nao kwenye interview amna ata mmoja ameitwa haha mwez wa 2 unaendea wa3 saiz

Pale mtasubiri sana aisee kikubwa kama huna channels lile sio shirika la kuangalia otherwise fanya mambo mengine tu.
 
Kuna shirika linajiita jhpiego sijawahi kuona wameita watu kwenye usahili lakini hata siku moja huwezi kosa tangazo lao,jamani kuweni serious.

I hate that thing.

Vijana tuwe positive. Ukiona hujaitwa kuna mwingine ni well qualified zaidi yako kaitwa. After all shirika lipo kwa sababu lina wafanyakazi. Sasa hao wafanyakazi wanatoka wapi? Si wanaajiriwa kama wengine? Tujifunze kuwa na subra.

Sasa wewe ungesemaje kama ungeomba kazi kwenye hizi international organizations kama UN nk? I imagine ungelaani kwamba kuna rushwa. Nakumbuka kuna kipindi niliomba kazi kwenye international organization moja, nililitewa barua ya ku-regret after two years!

Wewe do you part. Sukuma karatasi zako. Mengine iachie process.
 
Aisee kumbe ndo zao ,sikujua mimi nilifanya interview zao 3 akiwemo moja na mkuu wao wa huko John hopkins marekani na nina zaidi ya miaka 10 kwenye hiyo fani niko professioally registered na international board na nimefanya kazi as an expat.Lakin baada ya kuniomba vitu vyao vingi imechukua muda wa mwezi na nusu kunijibu kwamba they regret kuona sijachaguliwa.Bahati nzuri wamejikomoa wenyew maana kuna wengine walishanitumia mkataba tayari.Lakini kwa professionalism hii kitu ndo inafanya wawekezaji waseme sisi wabongo hatuna uwezo wa kufanya kazi kwa sababu tunabebana kijinga.
 
Hawaitagi ..na uyo watakuwa walijichanganya ..nina watu zaidi ya 6 hawajawahi kuitwa na mm wa 7
Hamkuwa hata na sifa za kuitwa kwenye interview. Bado unatafuta kuajiriwa? Wenzako wanajiajiri
 
Back
Top Bottom