zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,216
Leo nipo kwenye kipindi kutoa ushauri kwa wale wenye wapenzi,wake,mahawala,nyumba ndogo,vibuzi na kuendele mpaka ufundi wa Mechi...ntawaruhusu mchague na nyimbo...
Twende kazi
Twende kazi
Ndugu mshauri huoni kwamba utasababisha Ban miongoni mwetu kutokana na maswali tutakayokuuliza?
Maana wengine tunajijua na maswali yetu.
Mmmmmh
Naomba muongozo. kwa kutumia kanuni ya 68 (7) kesi iko mahakamani hatupaswi kuijadili hapa. NAOMBA KUTOA HOJA.
Mshauri jibu langu pleaseee!
nauliza kwanini siolewi? ntafutie mchumba. wimbo - singo girl wa naniii yule malizia
mmmmmhMaswali.
1. Naomba kujua faida na hasara ya kuwa na nyumba ndogo
2. Naomba pia unieleze ni kwanini wanaume wanapenda wanawake wenye makalio makubwa.
Naomba maswali yangu yasindikizwe na wimbo wake Lady JayD-Teja
mmmmmh
Hubby vp?
Funguka mshauri akusaidie.
Kuguna hakukusaidii kitu.
swali langu umesha liuliza!
Nimelisahau hebu :gossip: