jf_studio.....Upo na Mshauri Zubedayo_Uliza chochote kuhusu Mapenzi.,

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,875
1,216
Leo nipo kwenye kipindi kutoa ushauri kwa wale wenye wapenzi,wake,mahawala,nyumba ndogo,vibuzi na kuendele mpaka ufundi wa Mechi...ntawaruhusu mchague na nyimbo...
Twende kazi
 
Ndugu mshauri huoni kwamba utasababisha Ban miongoni mwetu kutokana na maswali tutakayokuuliza?
Maana wengine tunajijua na maswali yetu.
 
Maswali.
1. Naomba kujua faida na hasara ya kuwa na nyumba ndogo
2. Naomba pia unieleze ni kwanini wanaume wanapenda wanawake wenye makalio makubwa.

Naomba maswali yangu yasindikizwe na wimbo wake Lady JayD-Teja
 
Naomba muongozo. kwa kutumia kanuni ya 68 (7) kesi iko mahakamani hatupaswi kuijadili hapa. NAOMBA KUTOA HOJA.
 
Maswali.
1. Naomba kujua faida na hasara ya kuwa na nyumba ndogo
2. Naomba pia unieleze ni kwanini wanaume wanapenda wanawake wenye makalio makubwa.

Naomba maswali yangu yasindikizwe na wimbo wake Lady JayD-Teja
mmmmmh
 
Naomba nijue gendar yako kwanza mtoa mada!
Tusijekuuliza utamu wa viazi kumbe hujawahi kuvila .
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom