jf_Dah....Taja style uliyolala

jf_Dah....Taja style uliyolala

Nimelala Huku nakesha,
Naawaza maisha yalivyovaa Bukta,
Pesa hakuna,Kazi hakuna,Tunauza sura vijiweni tu.
 
Nimelala Huku nakesha,
Naawaza maisha yalivyovaa Bukta,
Pesa hakuna,Kazi hakuna,Tunauza sura vijiweni tu.

morning wangu! usiwaze sana we tulia mimi nitafute pesa nilete, we relax usije ukapata mikunjo kwenye uso! relax wangu!
 
Sasa mbona simuoni hapa mlinzi wangu akija kusema amelalaje? wakati jana hakulinda bali alilala kwenye lindo! mbona hasemi? Asipo sema mimi nta mtaja na wana chitchat mtamshangaa sana!
 
morning wangu! usiwaze sana we tulia mimi nitafute pesa nilete, we relax usije ukapata mikunjo kwenye uso! relax wangu!

Unajua nini Hubby wangu me nilalapo huwa naota ndoto za kutisha,
Hivyo yanipasa nikeshe nikiwaza.
Unataka ni-relax bila kufanya kazi ili mwisho wa siku useme umeoa mke Golikipa!!!!!!,
Akhuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!!, Nache niwaze mieeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 

Attachments

  • ATT00024.jpg
    ATT00024.jpg
    47.4 KB · Views: 29
Unajua nini Hubby wangu me nilalapo huwa naota ndoto za kutisha,
Hivyo yanipasa nikeshe nikiwaza.
Unataka ni-relax bila kufanya kazi ili mwisho wa siku useme umeoa mke Golikipa!!!!!!,
Akhuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!!, Nache niwaze mieeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

wangu ndio hichi kinacho nifanya nikupende zaidi yan una akili nyingi yan unapo andika mtu anaweza akafikiri ni akili za watu wawili kumbe mmoja tu! safi sana bab wangu!
 
pambafu kabisa...idiotic thread ever......ndio maana mmechemsha olympic
 
wangu ndio hichi kinacho nifanya nikupende zaidi yan una akili nyingi yan unapo andika mtu anaweza akafikiri ni akili za watu wawili kumbe mmoja tu! safi sana bab wangu!

Haya wangu kichuna.
Ila mtoa mada ana visa eti "style uliyolala" na kama nimelala Bar je!!??
Hivi Rutta Ulikumbuka kuzima Fridge ulipoondoka asubuhi,maana nililiacha On na si unajua Umeme unaweza katwa?
Poa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom