jf_Dah....Taja style uliyolala

jf_Dah....Taja style uliyolala

Nilikuwa safarini na gari ndogo ikaniharibikia porini ikabidi nilale ndani ya gari, just imagine ni staili gani niliyolala na tulikuwa wanne.
 
Haya wangu kichuna.
Ila mtoa mada ana visa eti "style uliyolala" na kama nimelala Bar je!!??
Hivi Rutta Ulikumbuka kuzima Fridge ulipoondoka asubuhi,maana nililiacha On na si unajua Umeme unaweza katwa?
Poa.

yaap! Nilizima wangu!
 
images
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom