JF vipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JF vipi?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Ibrah, Jul 7, 2010.

 1. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #1
  Jul 7, 2010
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Nina wiki kadhaa sasa nashindwa ku-access JF kupitia . www.jamiiforums.com na badala yake lazima nipitie www. Jambotanzania.net. Je, kunani?

  Wadau lazima wapitie Jambotanzania.net? (which is not bad anyway) ingawa pia ni vizuri kupitia www.jamiiforums.com
   
 2. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #2
  Jul 7, 2010
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Mkuu Ibrah, sina haja ya kujua pahala ulipo, lakini nadhani tatizo unalopata liko localized. Kuna tatizo la internet kwa sasa Tz kutokana na mkonga wa SeaCom kupata hitilafu, lakini hii sidhani kama itakuwa imepelekea kuwepo tatizo unalolielezea. URL ya jf uliyozoea inaweza kuwa iko blocked kwenye computer yako au kwenye network, check na admin wako au kwenye internet filters zozote ulizonazo hapo kwenye computer locally. Kama siyo filter, basi jaribu ku-search google for "clearing dns cache", sometimes name resolutions huwa zinakuwa corrupted hivyo huhitaji kuwa flushed.

  Steve Dii
   
Loading...