Hahahahaha. . .
Erotica. . .Ngoja wale wakaka walioanza kukuzimikia waje.
Wapi klorokwini, Nyani Ngabu, Bishanga, Fidel80, TANMO, Bwa'Nchuchu Asprin na wenzao sijui kina nani!!
Dah! ina maana ile self service kwenye post zako nilikuwa nalifanyia dume jenzangu, lahaula! tutauwana kwa presha wajameni
Nawajua waliokupm.... Bishanga BAGAH TANMO klorokwini@Asprin@Mphamvu kwa hawa mi ndio nawakumbuka.....Watajiju. teh teh teh. kama walidhani ni shori imekula kwao. na pm zao naanika vile vile.
Nawajua waliokupm.... Bishanga BAGAH TANMO klorokwini@Asprin@Mphamvu kwa hawa mi ndio nawakumbuka.....
Wengine utamalizia wewe!
Dah ukinipa u mod nawatafuta wote waliomsababishia shem Husninyo kujivua umember...nitawapa ban ya miaka 3Aisey! Kongosho pls haijapita wiki tumetoka kuuza banga letu la urithi, so far sina wenga kuhusu rare ! Jana nilikua na kikao na wanasheria wangu wafanye mchakato nataka kuinunua Jamii forum, Na Husninyo mara baada ya kupata fununu nataka kuinunua Jf, kanipigia akitaka turejeshe Ndoa, sijampa jibu.
Erickb52
Kongosho
BAGAH
Nicas Mtei
Nafikiria kuwapa u'MODS , ikiwa nitainunua Jf.
Pia katika kutafuta ukweli mwana JF wetu Cantalisia alikitolea kumpa klorokwini tamtam ili aone ukweli na klorokwini aliishia kuchekacheka badala ya kufanya kazi lol
Hahahahahaaaaa mbona bado gazeti liko page ya 4 ? Hadi lifike page ya 30 ni leo?Dah! nashauri gazeti lifungiwe kwa muda. khaaaa!
Wakati huo huo habari zilizotufikia hivi punde kutoka ofisi za Mods zinasema baada ya kutokea hilo varangati RussianRoulette amewapiga ban Mods wote waliotajwa hapo juu na haijajulikana ni ban ya siku ngapi...
Wakati huo huo habari zilizotufikia hivi punde kutoka ofisi za Mods zinasema baada ya kutokea hilo varangati RussianRoulette amewapiga ban Mods wote waliotajwa hapo juu na haijajulikana ni ban ya siku ngapi...
Nitaendelea kuwaletea yanayoendelea....stay tuned!
Rejao aibuni.
Yule memba mashuhuri kwa urefu wa pua lake anaekwenda kwa jina la rejao jana amejikuta akiabika mbele ya umati uliohuzuria sherehe ya aniversary ya ndoa yake na Cantalisia. Memba huyo katika kutaka kuonesha mbwembwe mbwembwe za sherehe hiyo aliamua kumbeba Cantalisia ambae kabla hata kumfikisha usawa wa magoti alijikuta anaanguka nae na kuteguka kiuno. Rejao ambae uzito wake hauzidi kilo 50 alijikuwa anakuwa kituko katika hafla hiyo kwa kumuinua jimama huyo ambae mpaka tunakwenda hewani na habari hii basi habari za kilo zake halisi zina utata