nitonye ajinyonga baada ya kuona Sweetlady anatoka Sisi kwa Sisi guest house na Klorokwini
Mwandishi wetu Erickb52 aliendelea kufafanua kwamba Loya huyo ambae aliamua kutinga eneo la tukio akiwa kavalia suti la kofi olomide na sweetlady akiwa kavalia pajama la taiwan walionesha zahiri nyuso zao zikiwa na furaha ili kuwajump roho wapinzani wa penzi laonitonye ajinyonga baada ya kuona Sweetlady anatoka Sisi kwa Sisi guest house na Klorokwini
Habari za kuaminika zinanaendelwa kusema kuwa klorokwini alionekana kavaa nguo ya ndani juu ya suluari bila kujua huku akionyesha mbwembwe kwa sweetlady ambaye naye alionekana kutibuka nywele utadhani kakurupushwa na mbwa wa polisi
Wana Chit-Chat naomba kuwahakikishia habari ninazozitoa kuhusu hili tukio na klorokwini na sweetlady pale guest house ya Sisi Kwa Sisi....Hii habari imepikwa haina ukweli, ndugu wasomaji nachukua nafasi hii kukanusha kile alichokisema Erickb52. Jambo hili likiachwa likaendelea litaifanya ndoa yetu kuvunjika.
Ndugu waandishi wa habari erickb52 amekuwa na tabia ya kumsalandia my wife sweetylady ili khali akijua sweetylady ndiye pumziko langu la moyo.
Asante mwandishi wetu, usiuze cd yote jamaa watanishusha bushaHabari za kuaminika zinanaendelwa kusema kuwa klorokwini alionekana kavaa nguo ya ndani juu ya suluari bila kujua huku akionyesha mbwembwe kwa sweetlady ambaye naye alionekana kutibuka nywele utadhani kakurupushwa na mbwa wa polisi
habari zinasema kuna walioshuhudia tukio hilo,kwa majina ni mpenzi wangu Amyner ambaye nilikuwa nae TANMO na wengine ingawa siwataji majina yao kwa sasaInasemekana baada ya krolokwini kuona njama zake za kutaka kummendea mke wa nitonye ambaye ni sweetylady zimeshindikana, ameamua kumtumia Erickb52 kuanzisha propaganda kuvunja ndoa yao
Mkuu inabidi umuone fello tablet Asprin akuunganishe kwa Mama Ashrat lolInasemekana baada ya krolokwini kuona njama zake za kutaka kummendea mke wa nitonye ambaye ni sweetylady zimeshindikana, ameamua kumtumia Erickb52 kuanzisha propaganda kuvunja ndoa yao
Taarifa zinaendelea kusema kuwa wakiwa njiani...alitokea Babu mmoja aliyejulikana kwa jina moja Asprin akiwa ameongoza ana M-bibi mmoja kikongwe maarufu kwa jina la Kongosho na kumchukua Sweetlady na kupotea nae kusikojulikana hadi sasa...uchunguzi bado unaendeleaAsante mwandishi wetu, usiuze cd yote jamaa watanishusha busha
Mkuu inabidi umuone fello tablet Asprin akuunganishe kwa Mama Ashrat lol
Tena bado mzee mzima sijaingia, bado nina hasira na ka fifty souzendsikubali, mhariri nakata rufaa.
Mbona kila kasha yangu? Eti hata sisifiwi.
Konnia aapa kula sahani moja na gazeti la jf udaku, asema ata lifilisi. Amuomba Cookie alifungie milele.
Tena bado mzee mzima sijaingia, bado nina hasira na ka fifty souzend
Erotica avua gamba na kueleza bayana. ID yake nyingine ya siku zote ni Saint Ivuga.
Hahahahahahaaaaaaa aiseee lolErotica avua gamba na kueleza bayana. ID yake nyingine ya siku zote ni Saint Ivuga.
Erotica avua gamba na kueleza bayana. ID yake nyingine ya siku zote ni Saint Ivuga.