Hili gazeti lenu vituko na kebehi vimejaa. Mpaka kashfa zisizo rasmi na maneno mazito, mitusi pia imo,,,kwa mantiki iyo mimi niwekeni kwenye tangazo la kibox kidogo.
Valid statement ananunua vyuma chakavu na chupa za plastiki.
Kg moja sh 500! Wahi ofa.