jf udaku:remix

hahahahaa!! MM1 umetisha mkuu
 
Bishanga ajikojolea usiku wa kuamkia leo. Mkewe ambae anajulikana kwa jina la eliza wa tgt amemwambia apulize godoro hadi likauke.
 
Bishanga ajikojolea usiku wa kuamkia leo. Mkewe ambae anajulikana kwa jina la eliza wa tgt amemwambia apulize godoro hadi likauke.

husn kikojooozi
na nguo kaztia maji......
Wakumbuka weye kamwimbo hako????
 
Michelle na Mtambuzi walivyo sherehekea mwaka mpya 2012

mia

he he he he he una kibarua kigumu sana Figganigga....kuvizia hata picha za vipaja vya watu kwenye starehe zao??

Haya si ulitaka JF wanione,hao wameniona....jamani Michelle ndo huyo Aunt Ezekiel hapo.....!!
 
Pwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, amka Bishanga wangu, tapata wapi tajiri lingine la kihaya mie....lol
Michelle,umeona figa alivyoniua hapo juu? We mwache tu naenda kumsemea kwa mama,lol!
Mia
 
Kumbe bishanga ni kitoto cha azania. Kipo form one.
 
Husn ,just out of curiousity,hivi TF siku mbili tatu hizi mbona kapoa sana? Kunani?au kamtia mimba mtu jf anataka aingie mitini?

hehehehe! Mi nipo namuwakilisha. Una ujumbe wake nimpe ausome?
 
hehehehe! Mi nipo namuwakilisha. Una ujumbe wake nimpe ausome?

mwambie TF aje kwenye uzi huu,asome post zote za AD,kisha aseme lolote kama atakuwa nalo,maana mmmmmhhhh nimechoka kabisa,mambo mengine jf utadhania masikhara kumbe watoto wa mjini wanafanya kweli!
 
mwambie TF aje kwenye uzi huu,asome post zote za AD,kisha aseme lolote kama atakuwa nalo,maana mmmmmhhhh nimechoka kabisa,mambo mengine jf utadhania masikhara kumbe watoto wa mjini wanafanya kweli!

kashasoma atajibu kesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…