JF UDAKU October Edition...Reloaded..

JF UDAKU October Edition...Reloaded..

Wasiwasi wangu ni kuwa kwa upande wako hata sherehe isiwepo,pia angalia unaweza ukadhani unapanga sherehe kumbe ni msiba, uliza wenzio kwa nini wana sitasita. Beware

Unajifariji eeh?
 
Yeah beibi ndoa yetu ndio mfano wa kuigwa humu huyu Baba V muache arukeruke humu kama kuku anaetaka kutaga

Nhwa hwa haaaa.. !!! ndo vigezo na masharti mlivyowekeana..... when you wake up you find the outside is not there.... ndo hapo busara itapokujia, but alas I'll be gone...!
 
Last edited by a moderator:
Yan Baba V na udaku.com nkikukamata
Uk. 2

6.Mtoto wa nje ya ndoa wa Lady doctor azua tafrani katika familia ya Arushaone, ugomvi wafika ukweni, yadaiwa hakuwahi kusema kuwa ana mtoto. Yasemekana mtoto anafanana na kingkongiii kila kitu.. Yadaiwa hata mimba aliyosema anayo Lady doctor ni uzushi mtupu.. nyumbani hapapikiki, hapaliki, hapakaliki na wala hapalaliki...

7. Masogange atoa ya moyoni , ni kuhusu "sembe" alilodakwa nalo, Erickb52 kikaangoni, adaiwa kuonekana akimsindikiza JNIA , Nzowa athibitisha..
8. Picha tata za Chocs na mpigamsuli zavuja, ni zile walizopiga wakiwa "robotatu uchi", wao wadai walikuwa katika maongezi ya kawaida.... ulegevu wa macho ya Chocs katika picha waongeza hisia hasi....

9.Sababu ya Evelyn Salt kuadimika chit chat yabainika.., Asemekana kuwa "teja" wa jukwaa la wakubwa, adaiwa kushinda huko usiku kucha na mchana kutwa.. Ushaidi wawekwa hadharani, Yadaiwa katika kila thread katika jukwaa la wakubwa utakuta Last post by Evelyn salt . Wito watolewa yafanyike maombi ya kumnusuru. Bujibuji na Zion Daughter wateuliwa kuongoza maombi..

.... Itaendelea...
 
Last edited by a moderator:
Uk. 3

10. Maandamano makubwa chit chat... Ni ya kutaka kurejea jamvini kwa cacico, Nicas Mtei , gfsonwin na kyanaKyoMuhaya ... Madame B akabidhiwa jukumu... watakaofuatia awamu ya pili watajwa.... yumo Zinduna... Mwenyekiti Baba V kusimamia zoezi...

Mbona Mkuu waliopotea jamvi either wajao kimastukizi na kusepa kinyatunyatu ni wengi mno? Mf.
YNNAH (Malkia wa Nyuki)
Husninyo
beibe nasty
Mtalingolo
BARgha
Mentol
sweetlady
kipipi
@st paka mweusi
Lily Flower
Catherine
Mzee wa Rula
Ruttashobolwa
Na wengine .
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
nirejee mara ngapi! ujauzito wa Asprin ni kama wa tembo, mwaka wa pili huu sijajifungua! nipomy dear, umenimisijeeeeee?? msiri wangu gfsonwin naye kajaa tele, yupo my dear! namuonaga ikulu, nasikia kawa PS wa jk!

Dah..... MIss u saaaaaana mamito!!!!!!! Pole sikuweza kuja kama nilivyokwambia! Ila Dec lazima nitie maguu...

Pole kwa :mimba:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom