JF UDAKU October Edition...Reloaded..

JF UDAKU October Edition...Reloaded..

baby wewe huwa unampa nini huyu Baba V mbona vimbwanga vyako havimwagi hapa?

baby njoo tulale jamani...mi sina vimbwaga zaidi ya kukupenda wewe,,,,ndo nilikuwa nahisi Baba V anaweza kuviweka hapa jinsi tunavocheza kibaba na mama lol
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Uk. 2

6.Mtoto wa nje ya ndoa wa Lady doctor azua tafrani katika familia ya Arushaone, ugomvi wafika ukweni, yadaiwa hakuwahi kusema kuwa ana mtoto. Yasemekana mtoto anafanana na kingkongiii kila kitu.. Yadaiwa hata mimba aliyosema anayo Lady doctor ni uzushi mtupu.. nyumbani hapapikiki, hapaliki, hapakaliki na wala hapalaliki...

7. Masogange atoa ya moyoni , ni kuhusu "sembe" alilodakwa nalo, Erickb52 kikaangoni, adaiwa kuonekana akimsindikiza JNIA , Nzowa athibitisha..
8. Picha tata za Chocs na mpigamsuli zavuja, ni zile walizopiga wakiwa "robotatu uchi", wao wadai walikuwa katika maongezi ya kawaida.... ulegevu wa macho ya Chocs katika picha waongeza hisia hasi....

9.Sababu ya Evelyn Salt kuadimika chit chat yabainika.., Asemekana kuwa "teja" wa jukwaa la wakubwa, adaiwa kushinda huko usiku kucha na mchana kutwa.. Ushaidi wawekwa hadharani, Yadaiwa katika kila thread katika jukwaa la wakubwa utakuta Last post by Evelyn salt . Wito watolewa yafanyike maombi ya kumnusuru. Bujibuji na Zion Daughter wateuliwa kuongoza maombi..

.... Itaendelea...
 
Last edited by a moderator:
Kaopoa hausigelo wa Mamndenyi, yasemekana tayari amemkabidhi ujauzito, asakwa kila kona ya jiji, adaiwa kujichimbia Tandika kwa wahaya...
ha ha ha hapana bana .............huo udaku wako unanigombanisha na mke wangu
 
Uk. 2

6.Mtoto wa nje ya ndoa wa Lady doctor azua tafrani katika familia ya Arushaone, ugomvi wafika ukweni, yadaiwa hakuwahi kusema kuwa ana mtoto. Yasemekana mtoto anafanana na kingkongiii kila kitu.. Yadaiwa hata mimba aliyosema anayo Lady doctor ni uzushi mtupu.. nyumbani hapapikiki, hapaliki, hapakaliki na wala hapalaliki...

7. Masogange atoa ya moyoni , ni kuhusu "sembe" alilodakwa nalo, Erickb52 kikaangoni, adaiwa kuonekana akimsindikiza JNIA , Nzowa athibitisha..
8. Picha tata za Chocs na mpigamsuli zavuja, ni zile walizopiga wakiwa "robotatu uchi", wao wadai walikuwa katika maongezi ya kawaida.... ulegevu wa macho ya Chocs katika picha waongeza hisia hasi....

9.Sababu ya Evelyn Salt kuadimika chit chat yabainika.., Asemekana kuwa "teja" wa jukwaa la wakubwa, adaiwa kushinda huko usiku kucha na mchana kutwa.. Ushaidi wawekwa hadharani, Yadaiwa katika kila thread katika jukwaa la wakubwa utakuta Last post by Evelyn salt . Wito watolewa yafanyike maombi ya kumnusuru. Bujibuji na Zion Daughter wateuliwa kuongoza maombi..

.... Itaendelea...

Kamanda unajichosha sana, ndoa yangu na mke wangu Lady doctor ndio ndoa ya mfano wa kuigwa katika Jamhuri nzima ya nchi ya CHIT-CHAT
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom