JF UDAKU October Edition...Reloaded..

JF UDAKU October Edition...Reloaded..

Hilo gazeti nitalishitaki kunisingizia upunda wa sembe
 
Baba V hata mimi ni punda mdogo wa hii makitu inalipa sana!
 
Last edited by a moderator:
Chocs nilitoa oda ya tindikali gudulia mbili ongezea zingine gudulia 3 kuna mtu naona anataka kuyaona maisha katika mwanga bora

Ndo zenu ma "dragi dila" , mie kwa tindikali hunipati, tangu nilivyogundua nawindwa ni mwendo wa full rain coat na helmet tinted..
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom