JF UDAKU October Edition...Reloaded..

JF UDAKU October Edition...Reloaded..

Hahaaaaa .... wawajua em twente thrii wewe..!? eti sina mke humu, Mama v ni mkeo!?? na hakuna mwenye ubavu wala uhalali wa kunivua madaraka,hii ni kwa mujibu wa katiba iliyoniweka madarakani..

sheria wameziweka wenyewe ss zinawashinda we do m'kiti wangu wchimbue wana wote
 
Last edited by a moderator:

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    3.5 KB · Views: 36
Last edited by a moderator:
Uk. 2

6.Mtoto wa nje ya ndoa wa Lady doctor azua tafrani katika familia ya Arushaone, ugomvi wafika ukweni, yadaiwa hakuwahi kusema kuwa ana mtoto. Yasemekana mtoto anafanana na kingkongiii kila kitu.. Yadaiwa hata mimba aliyosema anayo Lady doctor ni uzushi mtupu.. nyumbani hapapikiki, hapaliki, hapakaliki na wala hapalaliki...

7. Masogange atoa ya moyoni , ni kuhusu "sembe" alilodakwa nalo, Erickb52 kikaangoni, adaiwa kuonekana akimsindikiza JNIA , Nzowa athibitisha..
8. Picha tata za Chocs na mpigamsuli zavuja, ni zile walizopiga wakiwa "robotatu uchi", wao wadai walikuwa katika maongezi ya kawaida.... ulegevu wa macho ya Chocs katika picha waongeza hisia hasi....

9.Sababu ya Evelyn Salt kuadimika chit chat yabainika.., Asemekana kuwa "teja" wa jukwaa la wakubwa, adaiwa kushinda huko usiku kucha na mchana kutwa.. Ushaidi wawekwa hadharani, Yadaiwa katika kila thread katika jukwaa la wakubwa utakuta Last post by Evelyn salt . Wito watolewa yafanyike maombi ya kumnusuru. Bujibuji na Zion Daughter wateuliwa kuongoza maombi..

.... Itaendelea...
Teh Teh. Kyala Anyosyisye..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom