Ni toleo jingine la JF UDAKU mwezi wa kumi likiwa limesheheni habari motomoto, Kwa hisani ya
TANMO ,
Bishanga na
Elizabeth Dominic natiririka kama ifuatavyo...
1.Sakata la madawa ya kulevya lachukua sura mpya.. Wasiotarajiwa watajwa kuwa ndio vinara.
Arushaone ashikiliwa na vijana wa Nzowa, ahojiwa kwa masaa nane..Mengi yagundulika, sasa kupelekwa China akajibu mashtaka baada ya kubainika kuwa vijana watatu waliokamatwa huko kwa nyakati tofauti walitumwa naye, mmoja atajwa kwa jina la
Chimbuvu , yasemekana ndio kisa cha kupotea jukwaani kwa.muda mrefu.
2.Mchakato wa kumpata Raisi mpya wa chit chat kuanza hivi karibuni, Ni baada ya wadau kutoridhishwa na mwenendo wa
Arushaone, Kashfa zake zaibuka, barua zake za mapenzi kwa
Mamndenyi zadakwa, alipoulizwa alijaribu kukana alipobanwa akasema ni shetani alimpitia, aomba habari zisifike kwa
Lady doctor.
3. Kisa cha
Excellent kupotea jukwaani kwa muda hapo nyuma kabla ya kuibuka hivi karibuni chatajwa, U punda wa sembe watajwa, yadaiwa aliponea chupuchupu kunyongwa China.
Vin Diesel na
Erickb52 watahadharishwa.
4. Mapya yaibuka kipigo cha mzee
Mtambuzi pale Mama Kamche pub, Mpishi wa kitimoto asimulia kisa chote, asema mjeshi alikuwa amedhamiria kumpoteza, adai kushangazwa na kasi aliyotoka nayo
Mtambuzi baada ya kupata upenyo, amfananisha na mkimbiaji Mjamaica Usain Bolt.
5.Nyota ya mrembo
Heaven on earth yang'ara ghafla, aonekana akifanya makubaliano ya kimkataba na Oprah Winfrey, Kilichozungumzwa bado siri.
figganigga alonga, ataja kuhamia D.C
.............. Itaendelea.........