Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
I'm very fine....sijui wewe
i am all right kabisa vin, nimekukumbuka!
I'm very fine....sijui wewe
Wapo wengi sana ila wewe sio mmoja wao.....
ni balaa hili tumbo nakwambia! Nakungoja mamii, karibu sana!
kila la kheri
Uk. 2
9.Sababu ya Evelyn Salt kuadimika chit chat yabainika.., Asemekana kuwa "teja" wa jukwaa la wakubwa, adaiwa kushinda huko usiku kucha na mchana kutwa.. Ushaidi wawekwa hadharani, Yadaiwa katika kila thread katika jukwaa la wakubwa utakuta Last post by Evelyn salt . Wito watolewa yafanyike maombi ya kumnusuru. Bujibuji na Zion Daughter wateuliwa kuongoza maombi..
.... Itaendelea...
Hureeee.....!!!!!!!! naona maombi yamefanya kazi, Evelyn Salt karudi .... watu weweeeeeee, pipo yuyuyuuuuuu..., Shukrani kwa kikosi cha wanamaombi chini ya Bujibuji na Zion Daughter..
Hureeee.....!!!!!!!! naona maombi yamefanya kazi, Evelyn Salt karudi .... watu weweeeeeee, pipo yuyuyuuuuuu..., Shukrani kwa kikosi cha wanamaombi chini ya Bujibuji na Zion Daughter..
ha ha ha !!! Haya basi m keep busy kabla hajarudia uteja. Si unajua akikaa idle ataanza kukumbuka matango ya Misri?
Baba V...... nakutakia kila la kheriHureeee.....!!!!!!!! naona maombi yamefanya kazi, Evelyn Salt karudi .... watu weweeeeeee, pipo yuyuyuuuuuu..., Shukrani kwa kikosi cha wanamaombi chini ya Bujibuji na Zion Daughter..