Paloma
JF-Expert Member
- Jan 22, 2008
- 5,331
- 4,956
zambega zizo? khaaaaa!!
Ushakunaku sipendi sipendi,sipendi mimi!
Cool.Same here.
How are you doing?
huyo tayari nishamkaribisha sigombani na mtu yeyote mi nagombea kiti cha mwenyeki wa cc yaan ananifuatilia kila uchochoro naupita.ummu kulthum unagombana na nani bibie? Kuna mgeni anakuja aitwae Evelyn Salt.
unanifuatilia sana mheshimiwa ebu niache nipumueKha..! we mwana we...., unataka kusema mwenyekiti anaishi ofsini...!!?? zereu hizo, pale ni nyumbani bana
Baba V akutwa amezima kwenye nyumba ya wageni chanzo anasadikiwa alikula vidonge vya viagra 7 baada ya kuadiwa gemu na Ummu
Mambo!!!Heheh udaku spesho!
ooh kumbee! Basi poa.Zawadi ilikua mezani ! Ukajizungusha weee, ukajitoa fahamu, unaingilia sebuleni unatokea jikoni ! Ilhali wa kuzawadiwa kibwena!
Kwa Yesu!! lol Hahahah poa mwaya, mzima wewe?Mambo!!!
Never mind. Am okey!Cool. Busy tu weekend yote hadi nikakusahau lol
Muendelezo...
Judgement aumbuka, ni baada ya kudondosha kitendea kazi chake. Ni daftari dogo lililoandikwa mashairi ya kutongozea, yapo katika lugha saba tofauti...., orodha ya waliopo kwenye mpango wake yavuja. King'asti , Paloma , Jeska wamo tano bora, amu pia yumo.
Baada ya chama flani kusema kitaandaa maandaman ya kushinikiza waziri wa kusoma na kuandika ajiuzulu, imezuka tafrani, mheshimiwa haonekani tena Jf. Id ya Asprin yahusishwa. yasemekana King Kong III pia ni yake.
Yagundulika ID ya Zinduna ni ya yule mama tulipewa namba zake pale mwembeyanga, mwenyewe ashindwa kukanusha, atishia kujinyonga habari hii ikiandikwa gazetini.