Jf Udaku Jumapili hii...

Jf Udaku Jumapili hii...

Baba V na huo udaku wako
panda.jpg

Teh teh teh , naona Jun mawashi geri...
 
Last edited by a moderator:
mh... maelezo iko wazi kwa kila mtu, nitatoa statement...
 
Baba V mbona hujasema umepata demotion eti kwasababu wewe ni mwl wa academics na shule yako imetoa zero wote na QT zero wote
 
Last edited by a moderator:
Baba V mbona hujasema umepata demotion eti kwasababu wewe ni mwl wa academics na shule yako imetoa zero wote na QT zero wote

Lile ni zengwe baada ya kugoma kuteuliwa kwenye tume ya dogo kayanza, kabla hajani demote alilia kwa nusu saa
 
Last edited by a moderator:
mie niko naandaa shughuli ya posa ya Madame B, anaoposwa na kiplagati26
cc CHAI CHUNGU

Yaani hapo ndo mnamchanganya kabisa Madame B wa watu, na hivi kwao walimfundisha kuwa ni dhambi kumjibu mwanaume NO. kazi ipo, Ben Kamwahidi u viti maaluni kupitia chama chetu ya vidole viwili, sasa sijui kama huyo mjeshi nae limbwata litamkolea akubali kuwa kwenye orodha, otherwise .....
 
Last edited by a moderator:
Teh!tehe! Ibidi nichukue nakala moja niitoe Photocopy
 
Yaani hapo ndo mnamchanganya kabisa Madame B wa watu, na hivi kwao walimfundisha kuwa ni dhambi kumjibu mwanaume NO. kazi ipo, Ben Kamwahidi u viti maaluni kupitia chama chetu ya vidole viwili, sasa sijui kama huyo mjeshi nae limbwata litamkolea akubali kuwa kwenye orodha, otherwise .....

mtasemaaaaaaaaaa mtachokaaaaaaaaaaaa yeye katu mdomo hato ufungua.........
mambo yake yanamnyookea hana muda wa kupoteza. Madame B hapa waimbie ule wimbo wa mke wa mzee yusuph ule \time sina washkaji sina muda huo.........mimi nalisakaaaaaa tongeeeeeeee ili liende kinywaniiiiiiiiii.............................niende huku niende kuleeeeeee kuitafuta rizikiiiiiiiiiiiiii...............

hapa waimbie ule wimbo wa dada wa mzee Yusuph unaosema
semeni eeeee hamshushi hadhi yangu
semeni eeeeee simwachi mpenzi wangu
semeni eeeeeeeee buheri sasa niko kwaaanguuu
 
Last edited by a moderator:
kuhusu mimi ni kweli lakini hayakuhusu ni ofisin si nyumbani mbona unahila wewe kunifuatilia takupopoa na mawe.............oooh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom