Jf Udaku Jumapili hii...

Jf Udaku Jumapili hii...

Nampenda na sina mpango wa kumuacha,B stands for.....So nilikua nae before.Ha ha

Unajua kuwa juzi kasajiliwa komandoo kiplagati26 !?? nimelikuta file lao mezani kwa gfsonwin , afu jamaa anachukua mafunzo ya ukomandoo Kwa anko Hu jintao, jiandae kupigwa kareti za ki cantonese...
 
Last edited by a moderator:
Huja pata habar za @Olld vampire na za Zion Daughter??

Zion Daughter kawekwa kinyumba na aliyekuwa mgombea uraisi 2010 kupitia chama flani hivi. Yule aliesema akipata uraisi atajenga kiwanda cha BINDUKI bongo kila mtu awe na yake ili tuheshimiane, afu naskia ni mja mwepesi tayari
 
Last edited by a moderator:
Zion Daughter kawekwa kinyumba na aliyekuwa mgombea uraisi 2010 kupitia chama flani hivi. Yule aliesema akipata uraisi atajenga kiwanda cha BINDUKI bongo kila mtu awe na yake ili tuheshimiane, afu naskia ni mja mwepesi tayari

khaaaaa salaaale kwa hiyo alikua ananzuga?? Na huyo vempaya mzee??
 
Last edited by a moderator:
Wadau mwandishi wenu wa kujitegemea chini ya uhariri wa Bishanga na TANMO natiririka kama ifuatavyo,,

1. Siri ya Evelyn Salt kuhamia singida yagundulika, fumanizi latajwa, Slave aweka mambo yote hadharani.

2. Mia saba yamfanya Mjapani pori Hiroaki Akahoshi atembee kwa miguu toka Mbagala hadi mbweni, mwenyewe asingizia ni mazoezi, afika akiwa hoi, ashindwa kutembea siku mbili.

3. ummu kulthum aonekana nyumbani kwa Baba V, uteuzi wa vyeo kwenye kamati mbalimbali za mahusiano watajwa kuwa sababu, atishia kuwaburuza mahakamani waandishi wa habari kama.wakimpiga picha.....

4. Siri yafichuka kuhusu Ban za mara kwa mara za Baba V, King'asti atupiwa lawama., mwenyewe ashindwa kukanusha...

5. Ukimya wa gfsonwin jukwaani wazua maswali, mengi yasemwa, Mr Rocky alonga. Asema mara ya mwisho alimuona amevaa tenite. Vin Diesel atajwa...

6. Kisa cha Madame B kumkimbia Chimbuvu chawekwa hadharani, viti maalumu CHADEMA vyatajwa, Ben Saanane ashikwa na kigugumizi.

7. Siri ya kilio cha Free Thinker yagundulika...., division Ziro form four yatajwa. mwenyewe asema anamwachia Mungu.

8. Kashfa nzito yamwangukia mzee Mtambuzi, ni kuhusu degree feki..., wizi wa vyeti watajwa.. Mwenyewe akimbilia kwa sangoma....

9 Bishanga kuanzisha bendi ya taarabu, yeye mwenyewe kuchuana na Mzee Yusuf. Saida kalori mkurugenzi msaidizi. Yatabiriwa mafanikio makubwa.....

10. Uhamiaji wamsaka kabanga, . Ni kutokana na utata wa jina lake. ufadhili wa M23 wahusishwa... mwenyewe ajikanyagakanyaga kwenye maelezo yake. Busara za mwenyekiti zamuepusha kuingia Lupango.... amwaga machozi kama mtoto mdogo..........

Tutaendelea kuwaletea updates................ Stay tuned......

Hujambo Baba V
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom