JF tunaogopana kwa nini??

I like my freedom and my privacy.....niwe comfortable kusema nalotaka....ila wanaonana,ni kuuliza tu wanaonana lini then mjumuike pamoja!
 
tatizo ni usalama, hilo tu.

usalama wa nini sasa? Nadhani woga huu hauna maana. Kwani tunavunja sheria gani hapa? Sababu kubwa ya kutotaka kukutana ni ile hali ya kuoneana haya na hivyo kupunguza kasi na uwazi wa kuchangia.sipati picha nabishana na baba mkwe kwenye jukwaa la mapenzi au nabishana na bosi wangu kwenye jukwaa la siasa mbona patakuwa hapatoshi!
 
I like my freedom and my privacy.....niwe comfortable kusema nalotaka....ila wanaonana,ni kuuliza tu wanaonana lini then mjumuike pamoja!
Kuna mmoja katika mambo yakuonana tulipokuwa tunakaribia wapi tukutane akasema itakuwa ngumu kwani mimi naishi baharein nipo umangani hivyo labda usubiri nikija tanzania nikajua kweli jf full usanii siwanawake wala wanaume!!
 
kila siku nikitoka ofisi huwa nakua pale new africa kupata 2,3 na kusafisha MACHO KWA STRIPERS CHUMBA CHA NDANI UKIJA NIBIP
 
Inanisikitisha kuona wana jf tunavyoogopana hivi nikwa nini??kwanini wengi wetu hatupendi kukutana??tatizo nini??kwakuwa tumekuwa wasanii kwa sana au zaidi ya hapo??

Nini kimekukuta ukafikia conclusion hii. Umejaribu kuitisha wito na watu wakakataa au unafikiri tutakataa..
 
Ni kweli kuonana face to face kuna baadhi ya watu inakuwa ngumu kwa sababu:-
  1. Kuna baadhi ya member ni watu wa kujilipua hivyo kupunguza maswali na hoja wao wanaona ni bora kutojulikana kuliko kujulikana. Hapa linaingia suala la usalama.
  2. Nature ya kazi. Uzoefu unaonyesha watu wakishajuana ID zao basi hamu huamia kwenye kazi na baadhi ya member hawapo tayari kwa hilo. Kuna baadi ya watu ni UWT, askari na wengine hawana kazi kabisa. Sasa kutokana na michango anavyoiona hapa JF anaona ni kheri kutojulikana. Chukulia wewe ni askari police na jinsi police wanavyokandiwa inafikia kipindi ni bora kutojulikana kuliko uje ujidhalilishe kwa wana JF ambao baadhi hawajatulia. Ikitokea anaweza kuja mara ya kwanza na kujuana na wengine basi baada ya hapo zinafuata sound lakini siyo wote.
My take:
Kujuana wanaJF kuna faida nyingi sana, uzoefu unaonyesha watu wanapojuana huweza kusaidiana katika furaha na matatizo.

 
Back
Top Bottom