JF tunaogopana kwa nini??

Inanisikitisha kuona wana jf tunavyoogopana hivi nikwa nini??kwanini wengi wetu hatupendi kukutana??tatizo nini??kwakuwa tumekuwa wasanii kwa sana au zaidi ya hapo??

Tunaogopana maana wanaume wengi wa humu JF wasanii..!!
Huo ni mtazamo wangu mimi Madame B.
 
Last edited by a moderator:
Kuna mtu kani qoute kwa ID yangu ya zamani humu, nitakuja nikilog in ile nyingine. teh teh.
 
Mi nataka kuonana na mtu mmoja tu arusha,basi Mama Ashrat nikaribishe basi,nasikia Baba Ashrat umempiga kibuti kisha udokozi maana hata pete zenu za harusi kaziweka pawn akalewee chang'aa.
 
Last edited by a moderator:
weekdays nipo huku kipumbwiko katikati ya puma na ikungi...ila weekends naendaga kinyeto au makojoa kutembea... fanya tutafutane singida hiyoo
 
kwa walio sumbawanga tuonane please,nimevunja ukimya,unaweza kuta wakina smile,afrodenz,ashadiii,mbu,madam na wengine wengi tunakula wote mahali bil;a kujuana sbb tu ya uwoga wa kufunguka,haya fungukeni ntakuwa billion nears pub jion na katavi,karibuni tujuane bhana
 
Back
Top Bottom