JF tunaogopana kwa nini??

Nipo Kandete-Mwakaleli-Tukuyu-Rungwe karibu na daraja linalounga mwatisi na Kandete....karibuni
 
tumblr_lgr06zeFpz1qdsz7lo1_400.png
 
na Jf siku hizi imekosa michango kama ya 2007/2008 kutokana na members kuanza kufahamiana! Kuongea kwa uwazi hapa siku hizi ni mara chache
 
Kwa wana JF tuliofunga safari kutoka Dar kwenda kuonana na wana JF wa Arusha last year December it was a good experince to me i met friends there na wamenisaidia katika mambo mengi

Mimi naomba kuuliza jamani...mlipokutana ARS, mlijitambulisha kwa majina halisi au ya humu JF???
 
Mimi naomba kuuliza jamani...mlipokutana ARS, mlijitambulisha kwa majina halisi au ya humu JF???
Keren tulijitambulisha kwa majina yetu halisi tunayotumia JF kitu kingine ni kwamba pia tulipata nafasi ya kuonana na founder wa JF Maxence Melo
 
Inanisikitisha kuona wana jf tunavyoogopana hivi nikwa nini??kwanini wengi wetu hatupendi kukutana??tatizo nini??kwakuwa tumekuwa wasanii kwa sana au zaidi ya hapo??

Mkuu nipo hapa Alaska vipi tuonane kesho mchana ni PM nikupe details zaidi. Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

 
Back
Top Bottom