JF tunaogopana kwa nini?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JF tunaogopana kwa nini??

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by KakaKiiza, Feb 26, 2011.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Feb 26, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,276
  Trophy Points: 280
  Inanisikitisha kuona wana jf tunavyoogopana hivi nikwa nini??kwanini wengi wetu hatupendi kukutana??tatizo nini??kwakuwa tumekuwa wasanii kwa sana au zaidi ya hapo??
   
 2. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #2
  Feb 26, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Naomba tukutane leo jioni pale Ikwete Pub Vikindu.
   
 3. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #3
  Feb 26, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Mi nataka kukutana na wewe.
  Naomba uje huku mpwapwa nilipo.
   
 4. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #4
  Feb 26, 2011
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  DuH! hapo pazito ngoja waje wenyewe wazungumze!
   
 5. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #5
  Feb 26, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,699
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Tuko sehemu mbalimbali ni vgumu kukutana na pia wa2 wanaogopa kuonekana na hao usalama wa Taifa wasije wakakueleminate kutokana na thread zako unazozituma humu,ila kama unataka kukutana na wa2 muungwana hapo juu kashajitolea nenda kapige naye soga
   
 6. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #6
  Feb 26, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 12,868
  Likes Received: 4,545
  Trophy Points: 280

  Inategemea dhumuni la wewe kuomba kukutana na mwanaJF mwingine. Kama dhumuni lako haliko clear then ndo mana wanaogopa kukutana na wewe.
   
 7. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #7
  Feb 26, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wengne ni waume/wake zetu tukijuana utamu wa jukwaa utapungua we kama wataka kujuana nenda tu facebook
   
 8. Mjanga

  Mjanga JF-Expert Member

  #8
  Feb 26, 2011
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 1,246
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  we umetumwa!
   
 9. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #9
  Feb 26, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Kwa wana JF tuliofunga safari kutoka Dar kwenda kuonana na wana JF wa Arusha last year December it was a good experince to me i met friends there na wamenisaidia katika mambo mengi
   
 10. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #10
  Feb 26, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Tatizo ni USALAMA, hilo tu.
   
 11. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #11
  Feb 26, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Ahaa ahaaa Mpevu unaogopa kukabwa
   
 12. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #12
  Feb 26, 2011
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160

  ...kwakuwa "Anonymously" JF is where we dare to talk Openly!

  [​IMG]

   
 13. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #13
  Feb 26, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Mh itabidi nianze mkakati wa kuonana na watu. ila kama unapenda kuonana na wan jf mbona kuna siku walikuwa wanakaribishana kupata kinywaji maeneo fulani tena alianzisha hiyo thread teamo kama sikosei, embu anaeweza ailete hapa ili kakaliza aione na nasikia walitokea wengi sana
   
 14. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #14
  Feb 26, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hili ndio jibu lake la msingi... kama issue ni kukutana kuna facebook, huku acha tuwe huru mkuu..... :rain:
   
 15. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #15
  Feb 26, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Haha kama upo mpwapwa ukija DOM nitafte plz
   
 16. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #16
  Feb 26, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  umesema unakuja Yaeda nikaacha kukupokea?.....au unatutafuta maneno tu hapa.....unaona alivyosema The Finest hapo juu?....basi kukujulisha tu siku hiyo tulisakata rhumba mpaka kukakucha....mapicha motomoto tulipiga.....usitake kunifanya nikuelezee yote yaliyojiri siku hiyo....we njoo
   
 17. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #17
  Feb 26, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Kama uko DPRK basi mi napatikana mji wa Pyongyang The Korean Demilitarized Zone .
  Mi wala simwogopi mtu yeyote njoo tu tupige story tukumbushiane na mambo ya tz.[​IMG]
   
 18. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #18
  Feb 26, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  dom sehemu gani?
   
 19. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #19
  Feb 26, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Aisee Preta ile bata tuliyokula Arusha ilikuwa si mchezo
   
 20. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #20
  Feb 26, 2011
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  lkn cjui kwanini naogopa sana kukutana na wewe!
   
Loading...