JF Tumempata Deo Kisandu mpya

Status
Not open for further replies.
Mwamba ana maono safi ila kuyatekeleza Kwa vitendo ndo vigumu . pavement dar yote na barabara za lami Tu zimetushinda Dennis Robert Shughuru
Kama watu wengine wameweza kwanini unahisi sisi hatuwezi

Unajua jiji kama Beijing, Tokyo, ni makubwa sana na sehemu kubwa wamepiga pavement ni kweli China na japana wametupita kiuchumi unadhanije haiwezekani
 
Umeamia kwenye personal attack wala siwezi kasirika
 
Kama watu wengine wameweza kwanini unahisi sisi hatuwezi

Unajua jiji kama Beijing, Tokyo, ni makubwa sana na sehemu kubwa wamepiga pavement ni kweli China na japana wametupita kiuchumi unadhanije haiwezekani
Cite NCHI ya afrika ,china Achana nayo . vipi Egypt Wana pavement?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…