JF Tumempata Deo Kisandu mpya

Status
Not open for further replies.
Kumekuwa na tatizo kubwa la afya ya akili kwa vijana wengi na kwa nchi yenu Tanzania naona kama wala hamuhangaiki na kuwasaidia hawa watu. Miaka ya nyuma alikuwepo Deo Kisandu. Alianza kama huyu dogo Dennis ambavyo ameanza. Watu wakawa wanamcheka. Mwisho wake nadhani wakongwe tunafahamu.

Nadhani JF mods muangalie kama inawezekana huyu dogo apatiwe matibabu mapema. Akili yake haina afya

 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…