View attachment 109522
1. Nyani Ngabu - Post 40,484
2. Rutashubanyuma
3. Mzee Mwankijiji
4. BAK
5. Kongosho
6. Asprin
7. MziziMkavu
8. The Finest
9. Lizzy
10. Ritz - Post 21,276
Pongezi za kipekee ziwafikie wote, Mchango wao JF ni mkubwa sana na wathamani kubwa.
Wana JF mnalipi la kuwaeleza walio ndani ya Top ten na wale walio nnje ya Top Ten?
Nawasilisha.
Karibuni.
Ukijumlisha IDs zangu zote sikamatiki kabisa. Ninazidi posts 60,000:smile-big:
Mimi mbona simo hapo? Ha ha ha ha ha ha
View attachment 109532
- Upo nafasi ya 35, Nyuma ya Kiranga (Nafasi ya 34) na FirstLady1 (Nafasi ya 33).
- Hongera upo ndani "50! bora".
Mimi mbona simo hapo? Ha ha ha ha ha ha
vijana wa rumumbaKuna watu wanalipwa.
Kavumilia nini wakati anatumia jina la bandia?
personally sijawahi ona thread ya lizzy, na mzee
View attachment 109522
1. Nyani Ngabu - Post 40,484
2. Rutashubanyuma
3. Mzee Mwankijiji
4. BAK
5. Kongosho
6. Asprin
7. MziziMkavu
8. The Finest
9. Lizzy
10. Ritz - Post 21,276
Pongezi za kipekee ziwafikie wote, Mchango wao JF ni mkubwa sana na wathamani kubwa.
Wana JF mnalipi la kuwaeleza walio ndani ya Top ten na wale walio nnje ya Top Ten?
Nawasilisha.
Karibuni.
hahahaha utakuwa bench next match
Rutashubanyuma inabidi uone aibu kidogo kwa kuchangia JF,posting zote hizo lakini no consideration ya at least running costs-come on man
top ten ya waliotoa <like> sikosimuianzisha mada ungeweka orodha ya kila kitu basi
top ten ya waliopewa likes
top ten ya waliotoa likes
top ten ya most viewed threads
top ten ya most contributed threads
top ten ya most visited profiles
top ten ya most popular threads
top ten ya most members with so many started threads
etc etc..