Mikono juu, mikono juu, juu juu juu
Kama ndege mtini, tunapendana
Sare sare kama shuleni, tunaendana
Hatupelekani kama jeshini, tunapatana
Mama oooh, mama oooh
Mama oooh, mama oooh
Koh koh koh koh koh
Koh koh koh koh koh koh.......
Hahahahahahahaa jamani asikwambie mtu....
Kofta haitibu wala tangawizi na asali haiponyeshi kikohozi hicho
mahalat bin mahabat yupiiiiiiiiiiii.................... hapana chezea kulishwa nyama ya ulimi.................... mapishi yake sasa
siku ingine mchemsho wa ulimi kama ulivyo chuku chuku
siku nyingine ulimi unachemshwa kisha una rostiwa
siku nyingine ulimi ukishachemshwa unachomwa au unabanikwa
siku nyingine ulimi unalowewa kwenye viungo kwa masaa mawili kisha unawekwa kwenye karatasi ya bati (foil) kisha unawekwa kwenye kiokeo (oven) ladha yake au utamu ninaoupata hapo siuelezeimaana ntauza mechi bureeeeeeee huku nikijiona.
Pumpkin pie, honey pie, sweet potato, sugar plum, honey bun mimi kuupenda wewe imekuwa aahh ..............
yamekuwa yamoto yamoto mapenzi.........
mapenzi ya kitoto ya kitoto matamu.....
Hapo ndo nimeamini nzi kufa kwenye kidonda sio U . F . A . L . A . ila kupenda
Kaise ana maneno meeengiiii namalizia hiviii..........
sare sare maua,
anayejua kuchagua,
kabila lake msukuma,
kesho kutwa (Cape Town) tunakwenda kuchukua........
Kasie.