Mie nampenda mmoja tuu hapo kati ya hao, nae ni....................... (mahabuba aka mahabt..... koh koh koh) hehehehehheeeee..............................
Haya mpe salamu zake.....mwambie anasalimiwa na babu Ngabu.
Huyo kwa vyovyote ni Nyani NgabuMweeeh hongera zao, na mie niko top ngapi mshana jr naomba niangalizie hehehee au niko bottom ngapi.
Ila kwa JF kuweka huo mtiririko au mgawanyiko (namaanisha ranking) lengo hasa ni nini? Wamepewa zawadi? kuna shindani au unajikuta tuu umefika hapo?
Ni kutaka kujua tuu, pia asante mleta mada kwa kutujuza TOP FIVE.
Mie nampenda mmoja tuu hapo kati ya hao, nae ni....................... (mahabuba aka mahabt..... koh koh koh) hehehehehheeeee..............................
Halafu kuna wawili ni maswahiba wangu tuu au marafiki au majamaa nao ni Watu8 na BAK
Kasie.
Huyo kwa vyovyote ni Nyani Ngabu
inavutia,....
mshana jr wewe una ngapi....?
Hata top ten hatupoHujaniambia mie niko top ngapi au bottom ngapi...............................
Monkeeey ............................
Nyaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii......................................
Njoo ujibu tuhuma huku atii ni wewe mahalat wa Kasie?? koh koh koh
hahahahahaaa Kasie bana heheheheheheeee koh koh oh koh koh
yaani tunawandikiza......Hata top ten hatupo View attachment 318244
Huyo kwa vyovyote ni Nyani Ngabu
Nawaza tu kwa sauti
Huyu km co nyani halisi bac nahic ni Ngedere ngabuDuu una maswali mengi sana