Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,805
- 43,230
Umechemsha nini tena broo ......... usifanye hivo banaaMechemsha mie
Umechemsha nini tena broo ......... usifanye hivo banaaMechemsha mie
Mi kwenye mashairi mbovu lakini nyie wawili mabingwa wallah...ila mwenzio kapinda upinde una afadhali
Hapana, siwezi.Waweza imba wimbo huu.......
Wivu sina ila roho inauma eeeh
Munene na munene. ......
Mwembamba na mwembamba. ......
Na mimi na wangu....... (mahalat bin mahabuba bin my staftahi bin.........).
Asante kwa pongezi mwaego.
Kasie
abda kaona una sura ya mahbaKwa nini unadhani ni mimi na si Maxshimba, kwa, mfano?