Chocs
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 8,447
- 4,842
Godness
Inaonesha una wenge!!
Inaonesha una wenge!!
Last edited by a moderator:
Godness
Inaonesha una wenge!!
​asante kwa busu teh!!Mwaaah darling!
Nyuma yangu tena lol? Njoo mbele yangu bana
Hongera sana mkuu!
Hongerazo!
nataka kugombea uenyekiti wako tunataka demopkrasia....charity begins at homeUmeonesha njia kwa Mabilionea wa Arusha. Pamoja na yote hayo hodi hodi zikome kwa mke wangu Lady doctor mara ooh "naomba maji ya kunywa" hiyo tabia ife na ukachimbe kisima chako ili uyafaidi maji yako peke yako.
Jan 2014 wote tutakuwa JF TANZANITE
we ndio wa kumtuliza
bby eehMakubwaa!
Thanxx xx xx xx. ...bado nipo nipo wangu
kwa hiyo unatukana hadharani au kwa kuwa mie division 5 sijui kutafsiri sentence vizuri?
Hello..sijakukana sasa hivi am no longer single Nipe na ww la aziz
Sasa bby tufunge basi ndoa kabisa uondoe mashakaumeishatukana mie na mke mwenzangu ngoja tukae kimya labda kuna mtu unamfatilia tusije kukuharibia dili ila chonde chonde usije kufyatuliwa mie sina machozi sasa hivi ya kulia