JF TANZANITE: PAPAA MOPAO Tonykp UNATISHA!!!!!!

bora uwaambie mapema maana wanaume wa jf wamezidi mno wasione mbachao kwa msala upitao
Umeonesha njia kwa Mabilionea wa Arusha. Pamoja na yote hayo hodi hodi zikome kwa mke wangu Lady doctor mara ooh "naomba maji ya kunywa" hiyo tabia ife na ukachimbe kisima chako ili uyafaidi maji yako peke yako.
Jan 2014 wote tutakuwa JF TANZANITE
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom