JF TANZANITE: PAPAA MOPAO Tonykp UNATISHA!!!!!!

JF TANZANITE: PAPAA MOPAO Tonykp UNATISHA!!!!!!

Sasa hivi hakuna BAN wala nini....na nateleza tu kwenye matope
 
Umeonesha njia kwa Mabilionea wa Arusha. Pamoja na yote hayo hodi hodi zikome kwa mke wangu Lady doctor mara ooh "naomba maji ya kunywa" hiyo tabia ife na ukachimbe kisima chako ili uyafaidi maji yako peke yako.
Jan 2014 wote tutakuwa JF TANZANITE

Hadi january ifike si atakuwa.amekuchukulia Lady doctor wako tayari.. kama umesema anagongagonga kwa Lady doctor...!
 
Last edited by a moderator:
Mwe..! asavali umetaja hiyo bolded, nilidhani unataka kutaja ile nyingine ... my daughter nimesema usicheze karibu na huyo Tonykp... ana tabia mbaya..

Wory out my daddy...siunajua bint yako nilivo mtiifu hasa kwako eeh,,,nsipokusikiliza wewe ntamsikiliza nani tena??
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom