Tonykp
JF-Expert Member
- Dec 18, 2012
- 1,642
- 680
?????????????
Tanzanite Membership
?????????????
Toniiiiiiiii
Nimefuliaah
Tanzanite Membership
Waoo...hongera sana jamani my beiby,,,sasa sijui ndo kumekucha hivo!!! Mi yangu macho tuu yabidi niwe mpole
marahii? Au ulikopa?
Sindio mpango mzima a a
mke mwenza habari yako?
Njema kiasi mke mwenza,mwanaume ananipa mawazo huyu
kuumbee unaturusha roho na hela ya mkopo LOL!
Umeonesha njia kwa Mabilionea wa Arusha. Pamoja na yote hayo hodi hodi zikome kwa mke wangu Lady doctor mara ooh "naomba maji ya kunywa" hiyo tabia ife na ukachimbe kisima chako ili uyafaidi maji yako peke yako.
Jan 2014 wote tutakuwa JF TANZANITE
Mwaaah darling!