Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Sasa bby tufunge basi ndoa kabisa uondoe mashaka
ndoa ya mkeka
Sasa bby tufunge basi ndoa kabisa uondoe mashaka
ndoa ya mkeka
Sasa bby tufunge basi ndoa kabisa uondoe mashaka
ndoa ya mkeka
ndoa ya mkeka tena duh bora nikae single
mh sidanganyiki
Kwani nakudanganya?
tena nikikutwa na Valentina hapa sijui hata nitafanyaje ngoja nisepe zangu.[/QUOTE)
Amesha nipa green light so just me and you
Makubwaa!
ndoa ya mkeka tena duh bora nikae single
Huyo ni mpinzani wetu hataki nikuoe my dia
Nilijua tu utakuja hapa.....lolest
hongera kwa utabiri
nataka kugombea uenyekiti wako tunataka demopkrasia....charity begins at home
Tonykp acha kutapatapa, mara V mara C na H tena? Eboo wengine tutakula wapi?
Nimesema ni H basi vinginevyo
kwa hiyo Valentine na Chocs umetuachia?
Hongera zako Papaa Tonykp
nashukuru kukuona uko poa long time.... tanga wazima??
kwa hiyo Valentine na Chocs umetuachia?