CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,388
- 6,482
Akuje Evelyn Salt,
Najua uko tayari kumlinda....kwa nini aishie Kirumba Resort bila kampani wakati Ta Wingi wapo wajukuu wa kutosha??
Naamini ataiona picha hata maandishi hayasomeki...lol!!
Babu DC!!
Naona Mwanza upo peke yako nipokee nakuja wiki ijayo
Waje tu mkuu CHUAKACHARA,
Dala dala huwa haijai....tunawakaribisha sana tena...!!
Ta Wing ni zaidi ya dala dala....tena lile la Mbagala..lol!!
Babu DC!!
Babu DC, wakuje kwa Fast Jet, bei rahisis. Dar-Tanga Coastal Aviation hiyo tutawalipia!
Dawa sio kuhama... Tujiorganise wenyewe hata kama ni wawili or watatu kuwakilisha JF Lake Zone.
Mwenzio leo natawa home!!!!
Jiandae kutupokea ngoja niongee na charminglady
Mbona nimeshawapokea tayari! Tanga kunani, waja leo waondoka leo1 Umeshawahi sikia hayo
nshasikia, mi nikija naweka kambi siondoki!!!
Tanga mmetisha sana, hongereni sana. Mkitaka miongozo mbali mbali msisite kuwasiliana nasi.
nshasikia, mi nikija naweka kambi siondoki!!!
Jana mchana (19/01/2013) Wana JF tuliopo Tanga tulikutana na kujadili mambo kadhaa ikiwa ni pamoja na kuchagua uongozi.
Nitumie fursa hii kuwapongeza na kuwashukuru wote waliohudhuria kikao hicho. Kikosi kipo kamili sana lakini tunawakumbusha wale wote waliopo Tanga na wangependa kuwa pamoja nasi kuwasilina na mimi au Dark City; tunawakaribisha sana. PakaJimmy Preta, Filipo, Arushaone, marejesho, Lily Flower, watu8 Smile..... tumeanza kazi tuliyoahidi kuifanya.
Babu DC wakaribishe Evelyn Salt an Charminglady Ta. Wakuje waonje maji ya chumvi, MZ hakuna!