JF Tanga mpoo??

Hahahahahah...Wami na Segera wapi na wapi mkuu??

Hebu ipate Mkata kwanza....

Ila utafika mida ya kufungua milango pale Chichi....

Karibu sana ndugu..

Babu DC!!

Na kweli parefu sana,loh.. Nilisubiria kuiona segera,hadi basi! Kuiona hiyo mkata,na sijui wapi,maana nako ni town.. Nikadhani ni Segera.. Nikiona taa nadhani segera,ingawa alama yangu kubwa ni petrol station..
Hata nilipofika segera sikupajali,nilishachoka sana mkuu Dark City ...
 
Last edited by a moderator:
Usiache kupata Mbuzi pale Nyinda......... Wallah Tanga nitarudi tena.......

Dahh Nyinda bado ipo? Na Loliondo bado wanapiga mziki?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Poa mkuu, sie tupo tunakula Maulid...

Karibu sana..

Babu DC,usione nawakwepa wenyeji wangu.. Tena nawapenda kwelikweli.. ila niko na "wawekezaji"..na wanachukua karibu muda wangu wote..

Kesho tunamaliza,kwa hiyo jioni itakuwa poa...
Copy: Arabela , CHUAKACHARA , KOKUTONA , YNNAH , MWAYASI and all JF Tanga wing members.
NB.niko Upare [.......]
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…