JF Tanga mpoo??

Asanteni sana wana CC..
KOKUTONA nimeona na wajukuu wengine wa babu DC ushirikiano wenu..
Nina dk 25 nimetoka segera. Ahsanteni.

Karibu sana, na imani utakuwa umefika.

Jimwagie maji uwe fresh then ukuje kunako matukio.

Nyinda, Forodhani, nyumbani hotel na kadhali na kadhalika
 
Nakuaminia mama wa mafungu....

Ngoja tumsubiri mgeni....

Babu DC!!

Nimemwambia aoge awe fresh afu tukutane.

Na nimeshaagiza maji ya kuoga yawekwe iliki, na kitanda atakacho lala kiwekwe uturi au jasmine.

Chezeya TANGA?
 
Dark City , KOKUTONA , YNNAH .... nashukuruni sana.. Najipumzisha,sijui kama nitatoka baadaye. Ila kesho,nitavisit maeneo na kisha kuwajulisha niliko,na tuweze kufurahi pamoja. Ahsanteni sana kwa mioyo yenu ya upendo.

Lala unono mgeni wetu eee!!!!

Pole kwa safari, mambo ya Tanga taratibuu, hatuna haraka mwaya. We lala kwa raha zako, kesho si mbali ati.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…