Tunaitafuta Segera kwa kasi sana...
tuanzie kwenye uono Babu Dc
Naitafuta Msata kwa njia ya Bagamoyo,nakuja Tanga..
Jioni njema kwa wana CC wa wing zote...
Binafsisheni kabisa, tunataka kucheza baikoko sisi lol
Keshakuja sasa,
Umemwona??
Kwazi kwenu....mie ngoja nikawapigie hadithi wajukuu...
Babu DC!!
Babu toa shaka, hapa tayari nimeshauloweka ukili namsubiri trachomatis tu