Sasa mtaingiza "ufisadi" humu ndani! Hii ya certain cheo kwa ajili ya uwezeshaji...watch out! Ni lazima huyu mtu anayetupa financial support atambuliwe kwenye ID yake? Oh please. Wataingia wenye pesa hapa na ndio itakuwa mwanzo wa kufa kwa forum!0-49 Posts - Junior Member
50-249 Posts - Senior Member
250 - Expert member
Number of posts by the user. Soon kutakuwa na ranking ya JF Premium member (wale ambao watakuwa wawezeshaji wa JF financially.
Nadhani swali la mwisho limejibiwa katika majibu madogo niliyotoa hapo juu.
See Mwendapole . He/She is a JF Premium Member. Ni mfano tu
Sasa mtaingiza "ufisadi" humu ndani! Hii ya certain cheo kwa ajili ya uwezeshaji...watch out! Ni lazima huyu mtu anayetupa financial support atambuliwe kwenye ID yake? Oh please. Wataingia wenye pesa hapa na ndio itakuwa mwanzo wa kufa kwa forum!
Soon RA atakuwa JF Premium member na hapo JF itakuwa imekwishaaaaaa.
Nadhani kuna haja ya kulifikiria vizuri hili suala la ranking.
Kuna haja ya kuwa na separate rating au ranking ya regular contributors wa posts na financial contributors.
Ushauri wangu: Ranking ya regular contributors iendelee kama ilivyo. Kuwe na separate ranking ya financial contributors eg Tin, copper, silver, gold, platinum etc.
Mfano: Mtu anaweza kuwa rank zote mbili eg Dotori, JF Senior Expert Member, Platinun contributor.
Ushauri wa Mama lao na Mzalendohalisi usipuuzwe.
Dotori, ni wazo zuri sana na lilikuwa kichwani mwangu pia.... umeniwahi kutype tu mkuu.. lol.
Kwa kuongezea tu, hizo medani ziendane na hiyo contribution per month, kwa hivi sasa ni $30 recurring, kitu ambacho wengine hatuna na hatutaweza kumudu, mara moja sawa. Ukitaka ku cancel hiyo subscription itakubidi uingie tena kwenye settings za malipo na mihangaiko mingine na usipoangalia utaishia kupata charges za benki tuu kutokana na account kuwa tupu!!
Mimi nashauri kuwepo na $2, $5, $10, $15 na hiyo $30 kwa wenye kuweza kumudu hizo kwa mwezi. Basi hii michango iendane basi na yale Dotori unayasema; ya tin, copper, silver, gold na platinum.
Nyongeza ni kuwa, rangi za majina labda nazo ziendane basi na contribution. Wale wasiotoa- Nyeusi, wale wa $2- Kijani, $3- Navy blue, $5 - Blue, $10 -Purple, $15 - Brown na $30 - Red.
Ni haya tu kwa sasa, ahsanteni.
SteveD.
0-49 Posts - Junior Member
50-249 Posts - Senior Member
250 - Expert member
Number of posts by the user. Soon kutakuwa na ranking ya JF Premium member (wale ambao watakuwa wawezeshaji wa JF financially.
Nadhani swali la mwisho limejibiwa katika majibu madogo niliyotoa hapo juu.
See Mwendapole . He/She is a JF Premium Member. Ni mfano tu
vipi, mbona sijajibiwa?
Ahsante kwa ufafanuzi wa ranking, Jee credits zinakuwaje?
mtaalam,0-49 Posts - Junior Member
50-249 Posts - Senior Member
250 - Expert member
Number of posts by the user. Soon kutakuwa na ranking ya JF Premium member (wale ambao watakuwa wawezeshaji wa JF financially.
Nadhani swali la mwisho limejibiwa katika majibu madogo niliyotoa hapo juu.
See Mwendapole . He/She is a JF Premium Member. Ni mfano tu
mzee kabadilishe ranking yangu0-49 Posts - Junior Member
50-249 Posts - Senior Member
250 - Expert member
Number of posts by the user. Soon kutakuwa na ranking ya JF Premium member (wale ambao watakuwa wawezeshaji wa JF financially.
Nadhani swali la mwisho limejibiwa katika majibu madogo niliyotoa hapo juu.
See Mwendapole . He/She is a JF Premium Member. Ni mfano tu
mzee kabadilishe ranking yangu
Mawazo mazuri Steve D lakini hivi ni kwa nini tunaidharau rangi nyeusi kiasi hiki? kwanini rangi nyeusi, rangi ya ngozi zetu ndio iwe chini? Arent we proud of our colour?
Steve,
Asante sana; inaelekea kuna post nyingi huwa zinanipita. Yaani rangi ya kijani ni kwa premium member? Binafsi nimekuwa na negative attitute towards rangi ya kijani kutokana na kutumiwa na CCM sana. Nafikiri moderator atumie rangi ya bluu ambayo ndiyo dominant hapa JF.
On the other note, sidhani kama ni busara kuchanganya ranking ya posts na ranking ya financial sponsorship. Nimesoma post mojawapo ya kwako pale na nimekubalina nawe kwa sehemu kubwa ila sikupendelea ranking za financial contributors; wote wawe ranked sawa kama JF Premium Member ila labda tuwe na kima cha chini cha mchango. Ranking by JF financial contributions iwe na class level mbili tu: Regular Members na Premium Members;
Kwa kutumia ranking by number of JF posts na ranking by JF finacial contributions tutajikuwa na ranking kama vile: JF Senior and Regular Member, na JF Senior and Premium Member, JF Expert and Regular Member, etc.
Mwisho, nakuomba Moderator uiunganishe thread hii na ile aliyonionyesha Steve hapo juu.