JF PARTY 25th JAN Exlusive Interview with lara 1...

Such a nice interview never seen b4,never get tired of reading ur answers @lara1 by the way lazima nije hata kwa crush program uniwie radhi kwa hilo.kwa kumalizia hongera Watu 8 kwa kuanzisha uzi huu hope umesaidia wengi

lipa kwanza huduma baadae
 
Last edited by a moderator:

Siku ya VALENTINES day ingekuwa powa.
 
Last edited by a moderator:
Chagua moja sikila mwana jf anasomesha ukiona vipi achana nayo starehe gharama ukisikia ndo hiyo hivyo acha wenyekutaka ku party waendelee sisi wengine February tunarudi makazini ulaya.

Tangu uende jando la Ukubwani umekuwa jeuri sana weye
Ebooooooooo.
Mpenzi Tuko usijali......tutashinda wote kijiweni.
 
Last edited by a moderator:
Ubahili hapana... ila vijana watatu hapa hom shule za kata hizi... laki 2 kila mmoja. Piga hesabu hapo...
Au nilipie amu nije. ..

hilo tu halina shida limetimia ntamcontact Mtambuzi nikulipie.
 
Last edited by a moderator:
Tangu uende jando la Ukubwani umekuwa jeuri sana weye
Ebooooooooo.
Mpenzi Tuko usijali......tutashinda wote kijiweni.
Umeamua kuja na ID yako ya zamani baada ya kutumia mpya sasa unaona kwenye maswala unayofahamika unatumia hii ID???Saa huyo Tuko sh,30,000/ inaweza kukusababisha usisomeshe watoto??Halafu we Madame B unajuaje kama mimi nimeenda jando la ukubwa??wakati ujawahi kuwa nesi wangu wakati nakuja kufanya dressing??(Mabwaku)Halafu mko wengi mna ID mpya kwa hii JF Party ndo mmeibuka ukiuliza eti ubusy ndo unawafanya msiwepo kwenye jukwaa kumbe mnashinda humu na ngozi ya kondoo!!:becky:
 
Last edited by a moderator:

Umenifumbua macho mkuu,

Kumbe hapa tunadili na wazoefu katika jezi mpya??

Unaanza kunishawishi nije kwa party....

Babu DC!!
 
yaani badala ya kumwambia mjukuu wako kuwa anaharibu mipango iliyowekwa tayari
wewe unamsifia tena kwa kumpa seat kwa bibi yake?
mm nilidhani utamwambia kuwa wazo lake limeshaharibika kwani tushafika kileleni
kunako game wewe ndo unampa masifa ya kichwa kivimbe
Una akili sana mjukuu wangu....

Ndiyo maana una seat ya pekee nyumbani kwa bibi!

Babu DC!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…