JF PARTY 25th JAN Exlusive Interview with lara 1...

JF PARTY 25th JAN Exlusive Interview with lara 1...

Watu8

Platinum Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
76,354
Reaction score
108,476
Namasteeeeeeee!!!

Hapa mjengoni nipo na bibiye lara 1 ambaye ni mmoja wa organizer wa mjumuiko wa raia wa JF wa mkusanyiko unaotarajiwa kutaradadi siku ya tar 25 mwezi huu huu wa Januari ndani ya Escape Moko pande za Kawe Beach...

Bi mkubwa huyu atajibu baadhi ya maswali yangu ili kuondoa kizungumkuti kilichopo kwa members wa JF wasioelewa utamaduni wa huu wa watu waliopo nyuma ya keyboards kujumuika liveeee bila chenga...

Angalizo:
Wadau wengineo naomba tuwe na subra kidogo, kama utakuwa na swali basi waweza liweka kiporo na kuliuliza baada ya mimi kumaliza interview hii.

Party ni yenu ninyi wadau hivyo kila shauku yenu itapata jibu stahiki, uzi huu utaendelea kuwepo hadi siku ya party hivyo swali lako litapewa tiba tu!!

NB:
Mtaopenda kuhudhuria tuma 30,000 TSH yako kwa moja ya namba hizi 0715729292 - TIGO PESA na 0752729292 MPESA, hakikisha unaongezea na service charge kwa ajili ya kutolea hiyo pesa.

Karibuni....
 
Last edited by a moderator:
Bila kupoteza muda chap chap ngoja nikutupie bi lara 1 swali la kwanza...

1. Nini kilipelekea JF Party kuanzishwa?
 
Last edited by a moderator:
Bila kupoteza muda chap chap ngoja nikutupie bi lara 1 swali la kwanza...

1. Nini kilipelekea JF Party kuanzishwa?
Hii i think ilikuwa ni idea ya Gfsonwin na Mtambuzi, Madame B, Kaizer, Kaka Kiza, ET AL! wALIONA SI MBAYA CAUSE TUNASHINDA OWTE NA KULALA KWENYE KEYBOARD tukajumuika kufahamiana nakuondoa ule ucyber na digital kwenda kwenye reality!

And it wasnt a bad idea at all! Mimi nimesiriki last year party i cn guarantee you that!
 
Umenijibu vyema sana asante....asante pia kwa wadau hao kwa kuanzisha jambo lenye uelekeo mzuri kama hili....heshima kwao.

2. Kwanini JF Party inafanyika na ina umuhimu gani hii party?
 
mwaka jana kuna party ilikuwepo je ni mapungufu gani yalikuwepo na

mmejiandaaje kukabiliana na challenges zilizowa face yasiweze kutokea kwenye hi party??????

Well maka jana ilibamba mbayaaaaaaa! Na mwaka huu tumejaribu jaribu ku UPGRADE, kama VENUE imetoka KEBBY'S imehamia ESCAPE kitu mandhari ya beach! Na mengine mengi ambayo ni surprise ya watakaohudhuria!
 
Umenijibu vyema sana asante....asante pia kwa wadau hao kwa kuanzisha jambo lenye uelekeo mzuri kama hili....heshima kwao.

2. Kwanini Jf Party inafanyika na umuhimu
gani?


Actually tumeona ifanyike EVERY YEARcause kuna new members kla kukicha na guests. Pia tandao now uko number 1, so tunajitahidi kuwa wabunifu, kukutana kama hivi, kupeana idea jinsi ya kuliboresha jamvi. Uzuri kwenye JF party OWNERS wanakuwepogi na wanaichanganya na members.

Pia kwa baadhi yetu tunapenda ku network, kumake new friends, hivo yani. So kuna watu unakutana nao cyber friendship but they have what you are lookng for in friends, unaona sio mbaya if you get to meet them in person! Oopa sanaa mtu anayekomalia kubakia CYBER then ana claim you are good friends jua KAKUDANGANYA MAMBO KIBAO!

But if you have nothing to hide kama mimi hapa, i dont see WHY NOT!
 
Well...kumbe ni fursa pia ya kuweza kuwaona waanzailishi wa jukwaa hili pia...

Jamani msiowajuwa kina Melo, Mike Mushi na wengineo hii ndo fursa...don know if JF Robot Invisible will be visible!!!

3. Watu wengi wamekuwa na hofu ama woga kushiriki au kujumuika na wenzao, unaliongeleaje hili au unawezaje kuwatoa hofu?
 
Last edited by a moderator:
Well...kumbe ni fursa ya kuweza kuwaona kina waanzailishi wa jukwaa hili pia...jamani msiowajuwa kina Melo, Mike Mushi na wengineo hii ndo fursa.

3. Watu wengi wamekuwa na hofu ama woga kushiriki au kujumuika na wenzao, unaliongeleaje hili au unawezaje kuwatoa hofu?

Mpwa ina maana wewe hautakuwepo kwenye huo mjumuiko?
 
Mpwa tutakuwepo wote nane...

Halafu tuta demonstrate pia ni jinsi gani tunaenea kwenye tukutuku moja...
Mkuu watu8 endelea kusongesha miye nafuatilia huu mtanange wako na lara 1.
Naamini hii interview itaondoa hali a sintofahamu kwa wale wanaotilia mashaka mjumuiko huu wa tarehe 25 January 2014 pale Escape 1................
 
Well...kumbe ni fursa ya kuweza kuwaona kina waanzailishi wa jukwaa hili pia...jamani msiowajuwa kina Melo, Mike Mushi na wengineo hii ndo fursa.

3. Watu wengi wamekuwa na hofu ama woga kushiriki au kujumuika na wenzao, unaliongeleaje hili au unawezaje kuwatoa hofu?

Naweza kusema tu kuwa WOGA WAKO NI UMASIKINI WAKO!!!!!!!!!! Come on! Hii ni party, watu hatujuani, tunakutana kwa lengo la ku party TU!!!!!!!!!!! Sasa wasiwasi wako nini haswaaaaaa? We dont know you! Pae ni sehemu watu tunakutana kwa minajili ya kuparty! If you meet people watakao kuintrest then mtamalzana kivyenu, waki kuboa, unaondoka kama ndo binti hutoi number! Watajiju! Kwani deni?

Afu ni shughuli ya kistaarabu sanaaaaa! Very classy and trendy, huombwi kufanya kitu usichotaka wala hulazimishwi kufanya jambo usilojiskia!

ITS YOUR CALL, TO SPEND THE EVENING WITH YOUR LOUSY DAY TO DAY PEOPLE OR TAKE A CHANCE AND TRY A NEW BEGINNING!

Last year i could have sat at home, ninywe amarula damage ile ya 30, then mpaka leo ningkuwa na waswazi wangu wale tunapiga miahayo!I made a choice ya kwenda White Party, and in he party i met sombody, we talked business, nikajipigia debe la hatari, i didnt take the person seriously anyways, but to my surprise kanipa dili la tumillion kadhaa, mpaka nikaacha kazi kwa kibri! LOL! SO I TOOK A CHANCE ILINILIPA! THIS YEAR I AM EVEN TAKING A BIGGER CHANCE!

NEW PEOPLE= NEW OPPORTUNITIES!!!!!! OLD PEOPLE = SAME OLD BORING LIFE!

Where is your adventure spirit people!
 
halafu sorry ni watu wote tunaruhusiwa kuuliza maswali au ni wewe tu kwa sasa

Kwa sasa ni miye tu bi mkubwa, ila kama una swali we liweke kiporo maana uzi upo hewani hadi siku ya mnuso wa Pareeee...

Hivyo hata kukikucha utauliza na bi lara moko atakujibu vyema...

Tikeeee!!!
 
Kweli kumbe "Mwenda bure si sawa na mkaa bure"...

lara 1 naona umewafunza watu namna ya kuchangamkia fursa...

4. Hapa jukwaani kuna wadau wa muda mrefu yaani wale waliojiunga na JF wakati huo, pia wapo waliojijengea umaarufu kwa namna zao.

Je watu hawa wakongwe na mastaa wa MMU na JF kwa ujumla wasioshiriki unawazunguziaje?
 
Last edited by a moderator:
Kweli kumbe "Mwenda bure si sawa na mkaa bure"...

lara 1 naona umewafunza watu namna ya kuchangamkia fursa...

4. Hapa jukwaani kuna wadau wa muda mrefu yaani wale waliojiunga na JF wakati huo, pia wapo waliojijengea umaarufu kwa namna zao.

Je watu hawa wakongwe na mastaa wa MMU na JF kwa ujumla wasioshiriki unawazunguziaje?

Naweza kusema kuwa ni WANAFIKI WAKUBWA (Pardon my CANDIDNESS and my lack for sense of humor) But these guys are either 100% FAKEROOOOOOOOOOOOOOO! Or they dont live up to their reputations. Ndo yale yale ya EASIER SAID THAN DONE!!!!!!!!!!!! Maneno mengi jamvini wakati kujitokeza live HUDHUBUTUUUUUUU!!!!!!!!!!

Kweli to me it is so DISAPPOINTING watu wamepewa RELEVANCE na wenzao, and wampewa status ya ku MATTER humu jamvini, watu wanakuja, wanakukubali hivo yani, then i dont know if they are TOO ASHAMED or WHATEVER ila mtu ukipewa NAFASI, UMUHIMU na UMAANA conduct yourself in that way!

Watu wamecommit mda, resources, and shit to make things happen, afu unashindwa kushow a little appreciation, little humor kwa kusupport by just kushiriki tu, kila kitu umeendaliwa, uje ule tu na kunywa bado unleta MASHAUZI! KWENDRAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!

Afu humu unajikosha kosha NAKUJA! NITALIPA! BLAH! BLAH! Na kujifanya unatujua sanaaaa wenzio wakati umetutosa kwenye party SI UNAFIKI HUO????????

Nisongee sanaaa ila IM ALLERGIC na watu wenye VI ATTITUDE vya ajabu ajabu! Watu wameandaa kitu, SHOW SUPPORT, SHOW SOME LOVE! Ndo watu TUISHIVO! Shughuli ni watu na MTU NI WEWE (Cha unafiki). Party huji kesho kaka matambuz, kaka mtambuzi wakati party yake uliipotezea! Puuuuuuuuu!

To be more FRANK watu wengine ni SHMUCKS/ PARTY PUPPERS/ ANTI SOCIAL so its westage of time kuwaconsider! Otherwise kama unajiconsider social and you are not planning to attend YOU SHOULD REALLY BE ASHAMED OF YOUR SELF!!!!!!

Mimi last year nilialikwa, i showe support nikahudhuria, this year nilivoambiw ITS ON, sikutaka kuoverstay their welcome and take advantage of the situation kila siku niandaliwe kila kitu, out of my own generocity nikavolunte if i can be of any service kusaidia saidia kuandaaa! (Najuuuta! kaka Mtambuzi ananitumaje sasa! lol!) Ndo watu wanavoishi kwenye jamiii kiungwana!
 
Back
Top Bottom