JF ni mtandao wa Dar es salaam, wamikoani facebook inawahusu

Kajeba

JF-Expert Member
Oct 15, 2020
825
1,964
Wakuu
Ukweli lazima usemwe, Jamii forum ipo kwaajili ya wanaDaslam, watu wa mikoani wako bize na facebook

Wamikoani wachache waliobahatika kusoma elimu ya vyuo vikuu na wale waliowahi kufika na kuishi dar kwa ndugu zao kidogo wanaitumia jf

Narudia tena, JF ipo kwaajili ya wanadar es salaam hivyo hata mnaotoa matangazo ya biashara na mengine wanajf tupo Dsm
 
waliowahi kufika na kuishi dar kwa ndugu zao kidogo wanaitumia jf- ' vipi wewe ndo unakaribia kufikisha mwaka upo kwa shemej yako au
 
Aisee
Shule zifunguliwe tu mrudi mkasome
Huna wakubwa kwenu?
waliowahi kufika na kuishi dar kwa ndugu zao kidogo wanaitumia jf- ' vipi wewe ndo unakaribia kufikisha mwaka upo kwa shemej yako au
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Wakuu
Ukweli lazima usemwe, Jamii forum ipo kwaajili ya wanaDaslam, watu wa mikoani wako bize na facebook

Wamikoani wachache waliobahatika kusoma elimu ya vyuo vikuu na wale waliowahi kufika na kuishi dar kwa ndugu zao kidogo wanaitumia jf

Narudia tena, JF ipo kwaajili ya wanadar es salaam hivyo hata mnaotoa matangazo ya biashara na mengine wanajf tupo Dsm
usiwe mpumbavu wewe
 
  • Thanks
Reactions: ABJ
Nimeanza kutumia Jamii Forums niko Mtwara mwaka 2013 kabla ata sijawa na smart phone ila nilianza kwenye Computer za internet Cafe.

Mpaka sasa bado social median yangu namba 1 japo naishi Dar kwasasa.
 
Screenshot_20210914-202608_Chrome.jpg
Screenshot_20210914-202629_Chrome.jpg
Screenshot_20210914-202953_Chrome.jpg
 
Kama kweli uko dar
Wewe ndio unatakiwa kurudi mkoani
Halafu wamikoani waje dar
Unatia aibu
 
Wonders will never seized!
Yaani leo hii mtu anajisifia kuwa mwanaume wa Dar?

Hii league wanaume wa Dar wala mahindi ya kuchoma +ndimu+pilipili mtaiweza?

Wanaume mlioshindwa kumtia mimba v money kweli mnataka league?
 
Kwani FB inaubaya gani, watu maarufu duniani kuzidi Jf yenyewe wanapatikana huko ila sisi watoto wa maskini tukibahatika kupata ka degree kamoja bila uhakika wa kipato tuko bize kuikashfu na kuiona FB ni ya washamba.

Ulimbukeni tu unakusumbua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom