JF ni mtandao wa Dar es salaam, wamikoani facebook inawahusu

Mtu mwenyewe JF kaingia juzi tu, MSAHAMBA MMOJA.
We Dar umeona ni nchi? Pia ni mkoa. Mtu wa Dodoma anaita Dar mkoani.
 
facebook huwezi fananisha na jf katika nyanja yeyote ile, hata whatsapp imeandikwa ukiwa unaifungua from facebook, instagram pia ya fb
unaikosea heshima fb mkuu.
 
Wakuu
Ukweli lazima usemwe, Jamii forum ipo kwaajili ya wanaDaslam, watu wa mikoani wako bize na facebook

Wamikoani wachache waliobahatika kusoma elimu ya vyuo vikuu na wale waliowahi kufika na kuishi dar kwa ndugu zao kidogo wanaitumia jf

Narudia tena, JF ipo kwaajili ya wanadar es salaam hivyo hata mnaotoa matangazo ya biashara na mengine wanajf tupo Dsm
Kwani Maxmello mwenyewe anasemaje?
 
DUH! Mbona una AKILI FUPI SANA?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom