WA-UKENYENGE
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 2,918
- 1,233
Inabidi ututangaze huko uliko! Ukiweza tafuta T-shirt za JF kama ukumbo wenu daima. Hongera sana, And all the best.
duh! kumbe huku JF kuna raha na karaha pia? Juzi ilikuwa Machozi kwa bebii leo furaha kwako. Hongereni sana. kikiumana tu usikose kuja tena hapa hapa jamvini tuwape maidha. sawa mamiiiiii???Nimepata mwenza hapa jf tunafunga ni mwanaume wa aina yake ndoa tar 28/11/2011
niko na kaujauzito ka mwezi
nashukuru sana jf
nitawatumia kadi baadhi siku ikifika
karibuni sana
ni ushuhuda wa kweli
amesema atatoa shukrani zake kesho rejao ndo nani?nimependa picha yako hapo kwenye avator..wewe ni wa ukweli sasa sijui nani mume wako hapa jf ..anaweza akawa rejao?
ndo maana jina la mtoto ataitwa maxence meloinabidi ututangaze huko uliko! Ukiweza tafuta t-shirt za jf kama ukumbo wenu daima. Hongera sana, and all the best.
Nimepata mwenza hapa jf tunafunga ni mwanaume wa aina yake ndoa tar 28/11/2011
niko na kaujauzito ka mwezi
nashukuru sana jf
nitawatumia kadi baadhi siku ikifika
karibuni sana
ni ushuhuda wa kweli
Hongera mama Jery.Baba jery na yeye anaitwa nani humu tumPM kwa pongezi?????????Nimepata mwenza hapa jf tunafunga ni mwanaume wa aina yake ndoa tar 28/11/2011
niko na kaujauzito ka mwezi
nashukuru sana jf
nitawatumia kadi baadhi siku ikifika
karibuni sana
ni ushuhuda wa kweli
nimependa picha yako hapo kwenye avator..wewe ni wa ukweli sasa sijui nani mume wako hapa JF ..anaweza akawa rejao?
Kweli DOT.COM generation noma. Kuna mzee mmoja aliniambia shida ya kizazi hiki(1980>) huwa hakitaki kushikiwa......pengine ndio sababu mkuu kaamua kutanguliza FETUS tumboni kabla ya ndoa kama uthibitisho kwamba udongo una rutuba....!!!!
wee voiceofreason kashakataza mambo ya kuchangiana.
Source, sredi yake.
Ndoa bado lakini tayari 'kitumbo ndii'! Sijui mtaelimika lini dada zangu.
Kwangu kufunga ndoa,mimba through JF siyo Issue kubwaNimepata mwenza hapa jf tunafunga ni mwanaume wa aina yake ndoa tar 28/11/2011
niko na kaujauzito ka mwezi
nashukuru sana jf
nitawatumia kadi baadhi siku ikifika
karibuni sana
ni ushuhuda wa kweli
Nimepata mwenza hapa jf tunafunga ni mwanaume wa aina yake ndoa tar 28/11/2011
niko na kaujauzito ka mwezi
nashukuru sana jf
nitawatumia kadi baadhi siku ikifika
karibuni sana
ni ushuhuda wa kweli