JF ni hatari zaidi hasa chit chat

JF ni hatari zaidi hasa chit chat

Kipaji Halisi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2012
Posts
2,280
Reaction score
1,366
...mke: bebii unajua ni siku nyingi hatujafanya...
...mume: mh
...mke : mie nimechoka nina hamu..
...mume : mh..
...mke : nitatafuta mwingine humu Jf
....mume: mmmh...
...mke : tena kule chit chat
...mume : mmh
..mke : ujue mie natoka na .....wa kule chit chat
..mume : mmh...

NB : Angalizo usije poteza mume au kazi kwa kuchart JF
 
Mie nishapoteza wake wawili na bado sijakoma....!!!
 
2Q==


 
...hahahahahahaha C.T.U...unahisi watu hatuna kazi nini..?...sasa wenzako toka katika bonge la post... sawa..mkuu..acha dharau za kitoto...wengine idea za kazi tunatoa humu..hihihihihihihihi..km unatafuta kazi nione
 
2Q==



unatafuta kazi mkuu
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom