JF ng'are ng'are

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
280,760
730,014
9b0d3d8a119443f0005961308587e47a.jpg
Kuna kipindi JF ilikuwa hot kulikuwa na wanyange hatari...hawa walikuwa mauaridi ya jukwaa...ikafika mahali kukawa na miss JF
Halafu kikapita kipindi cha mpito...wengi wakabebwa zikawa ni ndoa kila pahala! Mashemegi mawifi bankwe na mamkwe, halafu michepuko ikaanza ndoa nyingi zikavunjika na talaka saba juu...ikabaki ndoa ya mshana jr pekee makofi tafadhali...!
Tuko kwenye new Era..! JF ng'are ng'are inarejea kwa kasi siku hizi kuna vyombo hatari...kuna haja ya kuirudisha miss JF
4dcc6abfd87b3e3de1340342c346be6d.jpg
 
mkuu ongeza picha kidogo usiwe na hiyana, miss jf cheo cha lundenga cheo nipewe mimi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom