jamani, nisipojibu comments, mjue nimemjoin mzee kwa bed..
ila kuna watu ambao muda wote wanacomment humu JF, wao wanawezaje? hawana wenza au?
Baadae umeme ukakatika, akaomba tutoke out kidogo, nikamwambia sawa lakini kwa sharti kwamba huko tunakoenda sitaki awe busy na simu au na JF. akanijibu wewe ndio kila siku upo busy na mtandao, je wewe hautaingia MMU. nikashtuka, nikajiuliza kajuaje kama mi huwa nakuwa MMU. nikamwambia naacha simu home kwenye charger siendi nayo. akaniuliza tena, so unanipa masharti sababu unajua wewe leo hutakuwa na simu so hautaingia JF?
Umeme ulipokatika ukaacha simu kwenye Charger......
vipi ndo unatoka lindo?au ndo wamalizia morning glory?
Umeme ulipokatika ukaacha simu kwenye Charger......