Fisadinumber1
Member
- Feb 26, 2008
- 23
- 0
Naomba kuuliza ile player ya JF naweza kuipata wapi iliyokuwa na collection nzuri sana ya nyimbo za zamani? Asanteni.
Mods,
Hii sehemu ya muziki ilikwenda wapi? Please irudishe kwani ilikuwa inatuburudisha tulio wengi!!!
Asante kwa kusikia kilio chetu.
Tiba
Mods,
Hii sehemu ya muziki ilikwenda wapi? Please irudishe kwani ilikuwa inatuburudisha tulio wengi!!!
Asante kwa kusikia kilio chetu.
Tiba
Waulize wahusika.....
watakusoma mkuuNimeshauliza lakini sikujibiwa, hivyo nikaona nianzishe thread hopefully nitapata jibu.
Hivi unapopeleka maombi ni lazima ujibiwe papo hapo. Watu wengine bwana hawapendi kusubiri lakini wao ni wakwanza kuweka wenzao viporo.
kwa kweli itapendeza sana kama itarudi. i pray for you wakuu wa JF. Mungu awatie nguvu muirudishe mapema
Glory to God