Wala usijaribu, utaleta msongamano mkubwa sana. there is a reason PM are personal. hahahahaha
We endelea kumtongoza sweetlady kwa PM. Nna mpango wa kumfanya mrusi awe nyumba ndogo yangu, ntazisoma tongozo zako zote kulaaleki!
Napata lakini lazima ukini-PM inbox yangu ifanye recognition of gender ili nijue how to deal with you.....Kwa hiyo mkuu hupokei PM toka kwa wanaume? wanaweza kua na data muhimu wanataka toka kwako, wafanyeje?
Mkuu nilikuwa naangalia na option ya kuweka WEBCAM kwenye inbox yangu...ukini-PM tunaenda sawa kabisa liveHahaaa haaaa hii kali, sasa mkuu unataka waingie ki mgongo mgongo?
Kwa kweli nawashukuru sana JFmembers hasa MMU,Basi wewe kama mimi Cantalisa. Napokea za kuwasaidia members tu (Moderation related, sio shida binafsi!)
Na mimi nilicheka sana nilipoambiwa habari za naughts... Bahati yao source yangu haijawataja majina.afadhali sijakutana na yoyote kati ya hao, kikubwa hakuna ajuae jinsia yangu loh maana siku hizi wanaume moto wanawake moto wanaweza kukutia majaribuni bure, ingawa fundi cherehani kiboko ila nimempenda the naughty one atakufanya u-smile
Wapo watu wanalalamika kua capacity ya inbox zao ni ndogo, wanatoka 1000 kwenda 5000, na hata hapo bado wanalalamika kua mara kwa mara wanahitajika kufuta PM. Mi mwenyewe kama wewe, nilifika PM 50 hapa tulipo anza december. lolAhsante Cantalisia,
May be kupitia kwako nimuulize RR, ...hivi hizo PM zinatumwa kwa jinsi (sex), ukoo, rangi, kabila au dini fulani? Mie huwa sipati zozote kati ya hizo alizozitaja na mail box yangu haijawahi kufikisha hata PM 30 toka niwe member wa JF???
Hapa kuna jambo Babu hajaelewa kabisa!!
Mbona mnapiga kimya? Au ndio mmejiona katika hizo category?
Punguza presha jibabanyie moderators mnatu enjoy sana! i always do wonder if JF's privacy policy applies to u guys! Kifupi tunajua ya kwamba tu uchi, and this is so uncalling!!
nyie moderators mnatu enjoy sana! i always do wonder if JF's privacy policy applies to u guys! Kifupi tunajua ya kwamba tu uchi, and this is so uncalling!!
jamani kuna wanaoona pm za watu nini,mbona mnatushtua hivo
Mi kwa weli sijaelewa elewa maana ya kum-add mtu kama rafiki. Au ndio unataka kuonekana uko katika network yake?Zaidi ya PM, kuna kuadd member kama rafiki, then biashara ya kuflirt inaanzia hapo kwenye profile yake kabla ya kuhamia kwenye PM na baadae live kwenye simu.
Na mimi nilicheka sana nilipoambiwa habari za naughts... Bahati yao source yangu haijawataja majina.
Wapo watu wanalalamika kua capacity ya inbox zao ni ndogo, wanatoka 1000 kwenda 5000, na hata hapo bado wanalalamika kua mara kwa mara wanahitajika kufuta PM. Mi mwenyewe kama wewe, nilifika PM 50 hapa tulipo anza december. lol
Mkuu nilikuwa naangalia na option ya kuweka WEBCAM kwenye inbox yangu...ukini-PM tunaenda sawa kabisa live
Niliona ya kwako umemtumia jana kabakabana unajitetea kuwa hauna mahusiano na yule mdada aliyekutumia ile PM juzijamani kuna wanaoona pm za watu nini,mbona mnatushtua hivo
Basi wewe una bahati sana, hakuna members wanakutafuta kwa ku-flirt... ila naskia wapo humu JF...Kwa kweli nawashukuru sana JFmembers hasa MMU,
Kwan tangu nimejiunga humu,
Nimejengeka na kuimarika kiroho kwa kiwango cha juu sana,
Na hii yote ni kutokana na PM ninazozipata kutoka kwao.
Hakuna bwana, wanawarusha tu roho hao! hakuna anae soma PM zenu, serious!