MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,752
- 71,640
Nitakupigia kwa namba yangu ya TTCL ☺️😊binti kiziwi kwanini hupokei simu zangu ?
Hawa hawajapotea, wengi tumebadilisha username.Hebu ongeza wengine
- Masanilo a.k.a Rev. Masanilo
- BAK a.k.a Bubu Ataka Kusema
- klorokwini
- kwinini
- Numbisa
- Nazjaz mfuga majoka
- Jemima Mrembo
- Sumbalawinyo
- @kidukulilo
- Bill Lugano a.k.a tajiri
- litutumbwe
Whaaat ? Kongosho alifariki ?Ashakufa pamoja na kikoozi
Huyu jamaa mzandikiKikoozi last seen today2: pm
Jamaa alitisha sana pamoja na kushambuliwa sikuhizi Yuko kimyaKikoozi last seen today2: pm
AiseeehAshakufa pamoja na kikoozi